Kauli Mbiu
Member
- May 29, 2017
- 7
- 2
Pole
Hata wewe hauko salama,maisha ya duniani ni mafupi sana,amini na umpe maisha yako Yesu,naye atafanya jambo juu ya mwanao.Maisha ni popote ila sio KIBITI.
Kuna mwanamke wa kipogolo nilioa na kuzaa mtoto m1 wa kiume, baadae tukazinguana na kuachana na mm kuoa make mwingne. Kunikomoa mm kaamua kutorosha mtoto mpaka kwao Moro( mbeya ndo nyumban na mama wa mtoto ni mwalimu huku mbeya Ila kwao Moro)
Mtoto alipelekwa kwao mama Jana na mpaka Leo hii sijawah onana na mwanangu. Nimejaribu zungumza na na wazazi wa mwanamke naishia tukamwa mpaka matusi ya nguon, ustawi wa jamii kama nao wanapewa mlungula kila nikienda napigwa kalend
Nmeamua kata rufaa ya porini(peleka kesi yangu katika mahakama za jadi) Nmeshinda kesi na ninepewa tayari nyuklia kwa mashambulizi kama adhabu kwa wakosaji kati ya haya kipi nifanye
1. Niwatoe wazaz wake ili mwanangu akose kwa kuishi na arudishwe kwangu. Iwapo wasipomrudisha at aka whip end eke a Lea mwanangu nae age mpaka aje kwangu
2. Nimlipue mama yake
3. Nimtumikishe huyo Hugo mwanangu afanye mambo ya ajabu mpaka waone hana faida kwao na wamlete kwangu
4. Baba mkwe ana katoto ka1 ka kiume na wakike wa3. Nikaondoe hako kakiume.
KIPI NI KIPI
Kelele mdomoni wanazo Ila uwezo wa kukwepa nyuklia zangu hawana
Ushauri mzuriAchana na mambo ya kichawi na kishirikina. Kwa ni umemaliza mbegu za uzazi hadi ujihangaishe hivyo si uzae na huyo ulonae.
Mtoto wako atajua ukweli akiwa mkubwa atakutafuta tu, endelea kumuombea kwa Mungu akue Vizuri na akukumbuke ,tupa hizo takataka za mganga wako choma kabisa .