Wadada tujiangalie kwa dakika moja

Wadada tujiangalie kwa dakika moja

bigboss1

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2015
Posts
319
Reaction score
196
Za leo,

Mimi ninamsaada kidogo wa mawazo.

Utamkuta mdada umri unaenda yupo na watu hawana mpango wa kuoa yeye amawahonga anawang'ang'ania anajipotezea muda wake hapo.

Hivi una umri 35- 36. Upo mtu 25-31eti ndio mchumba. Hushangai hujulikani kwao unamiaka 3 -4 eti unamchumba yupi. Kunatokea hafla au kitu cha nyumbani kwa mwanaume huendi yeye anaenda mwenyewe.

Hivi hujiulizi? Huyu mtu ananipenda au? Wewe nikuchorwa tu kwenye simu kutambulishwa kwa marafiki na ndugu wachache. Je utakuaje hiyo ni zuga tu ashatambulishwa wa kumuoa?

Hushangai ukiumwa mama mtu haji hujishangai mkwe hakujui iwe baba au mama. Au hata shangazi si mtaoana? Jua hana mpango na wewe. Acha kukuunganania mtu huyo hayuko mwenyewe yupo na wengi tu.

Kwa hiyo utapata mwingine. Unajikomba mpaka unamzalia halafu unaanza kupigwa visa anakuambia siku taki niache. Wewe ni malaya wewe ni kichechefu nini acha haya yote. Hayo muda kukupita unawako yupo tu.

Tulia kila mtu kapewa wake sio kila mtu ni billionea atapata ila yule mume unaye mtaka maishani. Sikia uwe mdogo uwe mkubwa umri haujalishi katika kuolewa. Stress sio siku hizi utaenda kisa uwehu tu.

Mwanaume anayekupenda yupo. Acha wapite wapita njia wako yupo.
Kweli. Acha kuhonga kisa unapewa vizuri. Fungua akili hupendwi unakizi kiu yake tu. Hela zanini? Wewe ndio akupe umpe yeye sio wewe.

Ukitoa kisa anakupa vizuri na wewe unampa anakudharau. Heshima hamna wala. Ukitoka tu anakusema vibaya. Nakukucheka anakutumikisha kama punda.
 
kuna mmama huyo ana shape balaa..saaa mm tako na mipaja ndo ugongwa wangu.ubaya hata umri hatuendani ni vile tuu nampa kitomb.o cha maana
akishakojoa baasi napewa sifa zote za mume na akati mm napooza tuu daaah.
ila ni mtamu yule mama acheni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamekusikia wanakuja! sema ni vizuri ungemwambia mwenyewe maana inaonekana dhahiri unamlenga rafiki yako! Halafu cha mwisho improve your handwriting! Ni mmbaya sana
 
Unaandika utafikiri mwanafunzi wa chekechea [emoji57][emoji57]
 
Dah, hivi somo la mwandiko shule za msingi bado lipo au lishafutwa siku izi?? Sio kwa mwandiko huu.

Any way, dogo achana na mambo yasiyo kuhusu, pambana na hali yako.

Hao wadada unaowasema nao wapambane na hali zao, kila mtu afanye yake life lisonge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom