Inawezekanaje mtu kusema ameolewa bila kufunga ndoa na mwanaume?

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
32,772
23,164
Habari zenu,
Hivi mtu anaposema ameolewa lakini hajafunga ndoa ana maana gani?
Hii ni ndoa ya namna gani?

Naomba mnieleweshe maana naona uzee huu unanifanya nisielewe mengi ya mjini, halafu muhusika alivyovurugwa nikimuhoji sana anashusha kichambo na povu tu.
 
BD ile ndoa yako na boss wa jf mlifungia wapi?
Hahahahah


Bomaniiiii... (the boss atadhibitisha)

Usiniambie ndio maana ya "kuolewa lakini hatujafunga ndoa?" Yaani kuna mtu nimeshindwa kumshauri lolote halafu mwenyewe kapanic kimtindo
 
Hahahahah


Bomaniiiii... (the boss atadhibitisha)

Usiniambie ndio maana ya "kuolewa lakini hatujafunga ndoa?" Yaani kuna mtu nimeshindwa kumshauri lolote halafu mwenyewe kapanic kimtindo
Nendeni kwa shehe, padre, mchungaji mkajielezi ili mfungwe pingu za maisha;
hivi hivi mtakuwa mnazini.
 
Uyo jamaa me simuelewagi ...yani yeye kila mjadala ana sema inasikitisha ...

Anaogopa kuweka dhambi zake hapa

mfano akisema alishabaka unadhani ma beib mamaz watamkubali
atakimbiwa tu, njia rahisi ni kuponda maovu ili awavutie ile jinsia ya pili

ukila na kipofu usimshike mkono
 
Back
Top Bottom