Nahitaji mpenzi umri 18-27

Emmanuelyz

Member
Jul 3, 2017
13
3
Naitwa Baraka umri miaka 27 mkazi wa kitunda hapaDar, nahitaji mpenzi umbo lolote ila asiwe mwembamba sana awe mnene wa wastani na awe mkweli na mwelewa, kwa aliyetayari tutafutane kwa namba hii 0714002998.
cd9a83a3e515ef051736d2cd1c69b83f.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
mi natafuta mwanamke umri chini ya miaka 29,tufanye maisha,awe walau kamaliza kidato cha nne,maji ya kunde hadi mweupe,asiwe mnene wala kimbaumbau,awe tayari kuendelezwa kielimu,umri wangu 36..namaanisha wadau,alie tayari aje pm
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom