Chips yai sio ishu tena, siku hizi ni kitimoto tu

Chips yai sio ishu tena, siku hizi ni kitimoto tu

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,618
Kipindi cha nyuma watoto wa shule na dada zetu kwa ujumla walikuwa wakipewa ''vibendi'' sababu ya chips yai.

Siku hizi chips yai imeshuka hadhi, siku hizi utasikia dada zetu ''leo nina hamu ya kitimoto'' au ''dah! sijala kitimoto siku nyiingi kweli'' wajuzi wa mambo wakishaona hivyo basi hutumia mwanya huo kujichukulia ushindi wa mezani.

Habari ya mjini siku hizi ni kitimoto, ukijidanganya na chips yai utajigegeda we mwenyewe.


Posted by: MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)
 
Last edited by a moderator:
cc: mama kamche, mgombani, milanda(opp catalunya), side way njia panda ya chuo, dagaa dagaa sinza... watoto wa chuo huwakosi sehemu hizi
 
Dalili za kiama:

1.Watu kuacha vya halali na kukimbilia vya haramu.
 
cc: mama kamche, mgombani, milanda(opp catalunya), side way njia panda ya chuo, dagaa dagaa sinza... watoto wa chuo huwakosi sehemu hizi

Migombani(corrections),,,hii milanda ni sehem gani from catalunya mkuu?
 
nikweri kabisa kitimoto ndohabari yamjini boss
 

Attachments

  • 1439351734088.jpg
    1439351734088.jpg
    10.6 KB · Views: 344
hebu nielekezeen kwa hapa mbezi mwisho wapi kuna vibanda vya kitimoto huwa nikichungulia sivioni.
 
Siku hizi utasikia, "Honey nina shida na laki mbili"!
 
Back
Top Bottom