Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ni J2 siku ya mapumziko, wife amekutengenezea lunch nzuri sana, umekula umemaliza unaamua kusaidia kuosha vyombo. Wakati unapanga vyombo vizuir kabatini unakutana na kipande cha gazeti ndani...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
SEHEMU YA KWANZA ndio niliwahi kuwa rafiki yake mzuri sana, rafiki mwenye mapenzi ya dhati, rafiki mwenye mtizamo chanya, rafiki asie na wivu lakini mambo yakaenda ndivyo sivyo! Kwanini?? iko...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Wadau naomba mnisaidie. Kuna ukweli wowote kuwa ukitoa bikra ya mwanamke unakuwa umeingia naye kwenye agano? Na pindi utakapomuacha akawa anakulalamikia kuna laana yeyoyete inayoweza kukupata?
2 Reactions
31 Replies
8K Views
Habari, Hapa jirani kuna mdada mmoja yaani amenisikitisha moyo, mdada mrembo kwa kweli maana ana sura na HALICHACHI BANDO kama la yule Suzy Bern wa E-news. Kinachoniuma pamoja na kuwa na haiba...
4 Reactions
48 Replies
4K Views
1=Usilazimishe kupenda usipopendwa UTAUMIA, 2=Usiache kupenda ulipopendwa UTAJILAUMU, 3=Usitoe maamuzi kwa ajili ya fulani UTAJUTIA, 4=Usione soo kusema ukweli wako UTAUMIA, 5=Usiwe na wivu...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Miaka 13: Usipende wavulana ni wabaya. Miaka 18: Sitaki nikuone na yule mvulana tena.! Miaka 23: Lini utatuletea mchumba wako? Miaka 26: Wenzio wanaolewa. Miaka 30: Tumekuambia kwamba acha...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Nilikutana Jesca mwaka 1999 katika chuo cha ualimu Tabora (Tabora TTC) Mahusiano yetu yalizaa ndoa baada ya miaka mitatu baadae.. Pamoja nakuwa katika mahusiano hayo nilikuja kugundua Jesca nae...
8 Reactions
34 Replies
4K Views
Husika na somo tajwa hapo juu. Nawasalimu kupitia jina la Bwana. Naomba mwenye kufahamu link au web ambako naweza kuipakua movie tajwa hapo juu anisaidie. Nimefanya juhudi zote bila mafanikio...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari za kazi ndugu, Niende moja kwa moja kwenye maana husika tupo kimahusiano na mwanamke ambaye tulipanga kuja kuona baadae. Mimi nipo Singida na yeye yupo Kahama, huwa tunatembeleana sasa...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
SIO LAZIMA UNIELEWE!!! *Alipenda Kujiita Mr.Sugar Kutokana Na Umahiri Wake Wa Mapenzi Kitandani Na Kujua Kubembeleza Kwa Umakini Sana. *Mr.Sugar Hakuwa Na Kazi Yoyote Zaidi Ya Kupenda Kulelewa...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Ladies not ALL MEN CHEAT, Huu ndio ukweli, nimeona hili jambo mara nyingi sana kwa watu wangu wa karibu, not all men cheat. Wanawake huwa tuna assume kwamba tupo kwenye mahusiano na mwanaume...
26 Reactions
160 Replies
61K Views
Habarini wana MMU, Leo nimekuja na mada hapo juu kusudi kila mtu aelimike je unachukuliaje ubestfriend? Unakupa faida au hasara? Nianze mimi labda, kipindi nikiwa 20 yrs and below kweli nilikuwa...
8 Reactions
36 Replies
3K Views
Mambo 39 Yanayovunja Mahusiano Ya Kimapenzi Au Ndoa 1. Kutokuwa na mawasiliano ya karibu na mwenzi wako. 2. Kutojali maumivu ya mwenzi wako. 3. Ubishi usiokuwa na maana. 4. Kupenda kujihesabia...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Naam kweli wahenga walisema "mzoea vya kunyonga vya kuchinja hawezi" wakuu mimi binafsi huwa nashangaa mno mwanaume ambae hawezi kupata mwanamke mpaka atumie hela ndio ampate binafsi sijawahi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
nimekuwa mara nyingi sana nikiangalia wanawake wazuri wenye tabia nzuri wanaangukia mikononi mwa wanaume masela au gangsters. wanaangua kwa wanaume aina flan hivi ambao mwingine unaweza usielewe...
14 Reactions
45 Replies
5K Views
Kha!!!!!! Hizi tuhuma zinakwenda moja moja kwenu wanaume wa Dareselama... Hii tabia ya kulamba chocolate imekaaje? yani nauliza kidume na mindevu yako umeng'ang'ana na chocolate inakuaje yani...
2 Reactions
36 Replies
6K Views
Huyu kaka tulisoma wote na kumaliza pamoja darasa la saba. Tumekutana tena kwenye kijiji cha wavuvi soko la Kisutu, kwakuwa siku ile nilikuwa na haraka tuliweza kubadilshana namba simu. Huyu kaka...
5 Reactions
47 Replies
4K Views
Habarini wa JF! Kwa vijana wa zamani, nadhani mtakuwa mnakumbuka jinsi mila zetu za Kiafrika zilivyokuwa, kwa kijana hasa wakiume akitaka kuoa enzi hizo. Kwa ninavyokumbuka kwa makabila yaliyo...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari wanajamvi?najua hatujasomana muda mrefu hapa MMU,ila naamini wote hamjambo, Ni usiku umefika ila mwenzenu sina amani kabisa,kulala natamani ila kuna ndoto nimeota hizi siku tatu...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Back
Top Bottom