Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Historia inaonesha kuwa kwa kipindi kirefu, wanawake na wanaume wamekuwa wakitumia chakula kumvutia mpenzi. Mara nyingine chakula hicho kinakuwa kinaongeza hamu ya kujamiiana na kuna wakati ni...
0 Reactions
39 Replies
36K Views
Huyu jirani yangu amekuja kuniomba ushauri. Alikuwa na michezo michezo na housegirl wake mama mwenye nyumba akiwa kazini, baada ya kugundua kuwa binti bado mwari aliingia gear za kuoa sasa binti...
4 Reactions
36 Replies
7K Views
Ndugu zangu, kweli ni sahihi kwa mke wangu kuniambia kama rafiki yangu wa karibu ambaye pia ni mfanyakazi mwezangu yakuwa amemtongoza. Na je nifanye nini? Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
85 Replies
10K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ukisikia mwanamke anasema,"nyie wanaume wote ni sawa" wewe muulize kama wanaume wote ni sawa mbona mnachukua muda mrefu kuwachagua mnaowapenda? Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Wana jamvi, Habari za mida tena, kuna story yangu nataka niwashirikishe halafu mnipatie mawazo yenu. Mimi ni kijana toka pande za kaskazini mwa Tanzania, nikiwa natokea katika kabila la pili...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Miaka mingi watu wamelia sana Kwa kuumizwa na watu wao wa karibu(marafiki). Sio mbaya tukashare yalitukuta Mtu uliyedhani ni rafiki yako siri yako yake, siri yake yako,shida yake yako ya kwake...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwanza kabisa napenda kutanguliza salamu zangu kwa kila mtu. WanaJF nimepatwa na matatizo katika masuala ya mahusiano na mapenzi. Mnamo mwaka 2015 nilifahamiana na binti mmoja ambaye tulikutana...
1 Reactions
94 Replies
10K Views
(1) Kuchat Na Kuwasiliana Na X Wako; Huyu hana nia nzuri na wewe, mlishaachana hata kama ni ile kuachana kwa wema lakini kuna mawili, ukimchekea sana atakugonga lakini mumeo akijua anakutimua...
22 Reactions
124 Replies
11K Views
Habari wadau, Nina mke na mtoto mmoja na hivi karibuni nimekamata mawasiliano yaliyoonesha kuwa wife ananisaliti na jamaa mmoja hivi nikafatilia vizuri ikawa ni kweli na alikwishatembea nae mara...
2 Reactions
62 Replies
7K Views
Habari zenu, Leo katika pita pita zangu mtandao mmoja wa home nimekutana na kituko ambacho sijafurahishwa nacho. Kumetokea msiba lakini jambo la kuhuzunisha ni kitendo cha mtoto wa marehemu...
1 Reactions
48 Replies
6K Views
Je, uliwahi kujiuliza swali, "Kuna tofauti gani kati ya 'tendo la ndoa' na 'tendo la ngono'?" Kama bado anza kujiuliza sasa. Andika jawabu lako kwa sentensi moja. Halafu, soma makala ya Greta...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari za jukwaa la MMU bosses. Sisi kama binadamu tumetofautiana kwa mambo mengi sana. Kimtazamo, jinsi tunavyoyachukulia mambo na lifestyle kiujumla. Huwezi amini naweza nikamaliza week...
3 Reactions
51 Replies
7K Views
Alhamisi ilikuwa ni kilele cha maadhimisho ya cku ya sheria nchini mi pia ni mdau wa sheria......nilikuwa nimeenda mahakama kuu..... Wakati nipo kwny viwanja vya mahakama ghafla nikastuka naitwa...
9 Reactions
145 Replies
14K Views
Habari za wakati huu,, Poleni Na majukumu ya kutwa nzima Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Umbali unaweza kuwa chanzo cha mahusiano kuvunjika? Nimeshuhudia mahusiano mengi ya mbali yakiwa...
2 Reactions
81 Replies
11K Views
Habari ndugu zangu, kuna Hii tabia Yani unakuta mtu yuko kmya either mpenzi au rafiki ila siku ukimtafuta tu Kosa hapo hapo anakuomba hela Yani Cjui Hii imekaaje sasa unajiuliza usingemtafuta...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Binti mwema hugeuka kuwa mke mwema pale tu anapoolewa. Lakini je Binti mwema ni yupi? Ni binti mnyenyekevu aliye tayari kusujudu chini akiomba na kusali kwa Bwana muumbaji wake, binti anayependa...
10 Reactions
124 Replies
17K Views
Nikiwa kama binadamu yeyote yule wakati fulani huwa nakaa nawazaaaaaa........halafu naanza kuyajutia yale niliyoyafanya na wale niliowafanyia ambao hawakustahili niwafanyie hivyo au haikustahili...
2 Reactions
73 Replies
11K Views
Baada ya kunipa muda wa siku tatu ili nitekeleze yale masharti yake matatu ambayo kwangu yalikuwa ni magumu sana kuyatimiza muda ulipita nae akaamua kukaa kimya kabisa bila kunikumbushia lolote...
1 Reactions
84 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…