Hivi Tanzania hii kuna wanawake wameumbika vizuri na wana maumbile mazuri kuliko wanawake wa kanda ya ziwa?
Kanda ya Ziwa tumebarikiwa kila kitu, kuanzia utajiri wa rasilimali hadi kwa wanawake...
Wakuu nimekuja na huu Uzi kwaajil ya kuwatambua vidume vya donati Yani watoto nalenale, hawawezi kazi ngumu kwahyo ningependa tuwataje na kuwapa maua Yao.
Povu ruksa na najua huu Uzi unalife span...
Umeshawahi kukutana na kijana[jinsia yeyote] mtanashati, mwenye uwezo wa kifedha na Handsome lakini single ukajiuliza shida nini?
Hii ni moja ya shida inayowakumba. Sio kazi rahisi kumvumilia mtu...
Wapo wanaoingia kwenye mahusiano na kuambulia kukongoroka mwili, mwili kupungua na kupoteza nuru.
Na wapo wanaoingia kwenye mahusiano na mtu fulani, na kujikuta mwili unaongezeka na kuwa na mvuto...
Bila shaka mko poa
Wakuu kwa nyakati tofauti mimi nimeshapitia mahusiano kadhaa ambayo wakati mwingine kila kitu kipo sawa lkn kwenye mapenzi kinyaa kinaondoa utamu wa penzi.
Nimewahi kua na...
Hapo zamani ulikuwa unakuta Mzee ana wanawake zake wa ndoa wa wawili au watatu halafu ana mchepuko wake mmoja.
Huo mchepuko unajulikana nyumbani mchepuko unamheshimu Mzee kama Mume mchepuko...
Nanyi, kila msimamapo na kusali, sameheni, mkiwa na neno juu ya mtu; ili na Baba yenu aliye mbinguni awasamehe na ninyi makosa yenu. [ Lakini kama ninyi hamsamehe, wala Baba yenu aliye mbinguni...
Ni mume wangu tuna watoto
Huyu baba kazidi umalaya jaman mpaka nakaa nae kirafiki namuuliza tatizo nini?
Kama haridhiki na mimi nimemruhusu aoe mke mwingine ampangashie mbali na mimi kwangu aje...
Wakuu kwema,
kama mada inavyojieleza, hapa nipo njia panda nakosa la kufanya,naamin ntapata maoni kupitia nyinyi.
Labda niwaeleze kisa na mkasa mpaka kufikia hatua ya kupandisha uzi usiku huu...
Angalizo Mhimu⚠️.
Uzi huu si kwa kila mtu. Ni kwa vijana waliokomaa kiakili, walio tayari kupambana na nafsi zao, kushinda tamaa, na kutaka kuzijenga upya roho zao. Kama hujafikia hatua ya...
Wanajamvi nawasalimu.
Ni hivi wife alinipiga ambush simu yangu, niliisahau home asubuhi. Kakuta meseji za sex chat kwenye simu yangu. Kiuhalisia sijawahi Kusex na huyo niliyekuwa nachat naye...
Nimekuja ukweni kuwaleta watoto baada ya kufunga shule Ijumaa ya juzi, waje kwa Bibi yao, Babu yao alishatangulia mbele ya haki.
Hapa mama mkwe anaishi na watoto wake wawili wa kike ambao nao...
"Habari yako kaka George,
Mimi ni mfuatiliaji sana wa post zako. Naomba unipostie na mimi ili watu wasijue kuwa ni Mimi ila nitasoma comments.
Mimi kuna jambo linanitatiza naomba ushauri wako na...
Habari wakuu..
Uzi wangu hauna lengo la kubeza uwezo wa wengine wa kufikiri au kutaka kujikweza.
Siwezi sema niko smart sana ila angalau nina awareness ya mambo kadha kwa kadha, napenda...
MSAADA NA USHAURI PM IKO WAZI LAKINI USISITE KUSIKILIZA RADIO YETU YA MTANDAONI KWA KUBONYEZA HAPA Jesus News Radio
Kuna wanawake wengi wanaotabasamu mbele za watu, lakini mioyo yao inavuja damu...
Habari za jioni mabibi na mabwana.
Nimeona niilete hii kwenu pia nisikie mnasemaje.
Mimi ni kijana wa kiume miaka 25. Kuna mdada nilitokea kumpenda sana kutokana na uzuri wake, tabia na ukarimu...
Hali?
Naamini mara moja au zaidi wewe mwanaume utakuwa umewahi kuhisi au kugundua kabisa hili.
Kuna ile mmekaa sehemu au kwenye mkusanyiko fulani, mmechanganyika wanaume kwa wanawake. Sasa mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.