Gentlemen wa Bongo tunakwama wapi kwa Maua Sama?

Gentlemen wa Bongo tunakwama wapi kwa Maua Sama?

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
10,002
Reaction score
16,240
Hivi huyu wife material mbona tunachelewa kumvisha shela?

Mimi sitaki niseme sifa za huyu mwana dada nadhan mwazijua.
Screenshot_20191201-150046~2.jpeg
Screenshot_20191201-145940~2.jpeg
Screenshot_20191201-145436~2.jpeg
Screenshot_20191201-145413~2.jpeg
 
Heshima kwako mkuu,
Kweli fikra za watu ndio zinafanya tuwe chini sana kimaendeleo.
Kuna vijamaa vishenzi vitakuja hapa na kusema"uzuri wa nyumba ni choo"
 
Sijajuwa umetumia vigezo gani kusema wife material

Ukipendacho wewe sio lazima nikipende mimi

Na nimipendacho mimi sio lazima nikipende wewe

Kila mtu na mtazamo wake hakuna ushirika kwenye kupenda
 
Utasikia Mabaharia wanakwambia hana T..O!

Ila tambua uzuri au Upole havikufanyi upate ndoa au mume.
Ndoa au kuolewa ni zari au baraka kutoka juu kwa Mungu muweza wa yote.
Ingekuwa hivyo wengi wangekwisha kuolewa.

Wapo wazuri na tabia zao nzuri ila kuolewa wanakusikia tu kanisani, msikitini au mtaani au kwa majirani tu hadi wanajiuliza kasoro zao hawazioni!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom