Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hali zenu, SakoKwaBako! Kile nilichokuwa nahisi kuwa ni kweli, hatimaye kimejidhihirisha kuwa ni kweli, na hii imedhihirisha kuwa nilikuwa sahihi kuwaza hivyo. Tatizo langu ni la saikolojia...
20 Reactions
94 Replies
5K Views
Kukosa ajira au kazi maalumu, matatizo ya kimahusiano na ya kifamilia ni hali ambazo mara nyingi huambatana na maumivu ya kihisia, kukata tamaa na msongo wa mawazo. Hata humu ndani ya huu mtandao...
9 Reactions
6 Replies
605 Views
Wana jamvi habarini niko na mtihani sana na sijui kama nitafanyajeee kuna mmama ivi ana 36 years kuhusu maisha yuko poa yaaan ako vizur kiufupi anataka nimuoe na mm choka mbaya hali yangu sio...
7 Reactions
162 Replies
4K Views
Ilikuwa ni mwaka 2014 nipo facebook, nilipost picha yangu kwenye group la "tafuta marafiki na mchumba", kulikuwa na comment nyingi za mabinti, nikachagua mmoja ambae nimevutiwa nae kwa kuangalia...
11 Reactions
22 Replies
2K Views
Nipo hapa nje ya guest nimesimama kwakujifucha, mke wa jamaa angu aliingia ndani humu mda mrefu Sana . Saiv ndo anatoka Ila sijui nifanyaje. Ipo hivi ... Toka zamani Sana Me nilikua nimesha amua...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jana ya siku ninayotaka kuielezea alikuja ndugu yangu kwa lengo la kushauriana afanye nini kujikwamua kiuchumi.Hapo ni baada ya kuachwa na mwanaume aliyekua akimtegemea kwa kila kitu. Wakati...
73 Reactions
204 Replies
8K Views
Doreen habari! Mimi nipo chuo mwaka wa 2 hapa dar.Kuna rafiki yangu amenidhulumu pesa yangu yani amenifanya nifanye mambo machafu ya aibu na hela amekimbia nayo simu yangu hapokei. Naomba...
13 Reactions
179 Replies
8K Views
Habari za mda huu wadau Hivi mwanamke anaweza kusoma chuo miaka mitatu vijana wa hovyo wasipite nae hili ni swali kutoka kwa mtu wangu wa karibu mwisho wa kunukuu
6 Reactions
105 Replies
3K Views
Wakuu! Naomba ushauri wenu kwa hili jambo linalonisumbua kwa miaka kadhaa. Ni zaidi ya miaka miwili sasa toka niachane na ex wangu, lakini bado namkumbuka sana. Kuna nyakati napitia picha zetu...
10 Reactions
58 Replies
2K Views
Ni vyakula gaini haswa ni vizuri kwa afya ya uzazi wa kiume? Ulipo ona unawahi ku mwaga wazungu ulifanya ni nini kurekebisha na kupona ili tatizo? Mwisho ni kweli kama umeweza kumfikisha...
5 Reactions
54 Replies
2K Views
Dalili za kuachwa au kwamba uhusiano unaelekea kuisha mara nyingi huanza kwa mabadiliko madogo ambayo huongezeka polepole. Hizi hapa ni dalili za kawaida zinazoashiria kuwa huenda mwenzi wako...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna wanawake ambao wameumbwa na ujasiri wa kumtongoza mwanaume pindi wanapoona wamevutiwa na mwanaume huyo kimapemzi. Mwanamke mwenye ujasiri wa namna hii huwa hasiti kumfuata mwanaume na...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Leo siwasalimii,,niende moja kwa moja kweny maada. Siku chache zilizopita nilikuja na uzi hapa JF wa kutaka mnambie mbinu ili mrembo wangu aliyekuwa amegoma kuja ghetto kugegedwa,, Nashukuru...
3 Reactions
111 Replies
9K Views
Heri ya nane nane wakuu Ebana,nimepokea kesi moja hapa mezani kwangu ikimhusu jamaa yangu flani hivi. Kesi yenyewe iko hivi,jamaa ameoa hawa totoz wa mjini na kamzalisha two kids za kiume.umri wa...
12 Reactions
134 Replies
5K Views
Wajomba kuna kijana wangu ana demu wake wameka miaka kama 3 hivi ola siku hizi jamaa kama kawa mwehu sababu ya demu Imagine demu hataki mazoea kama zamani na mzigo hadi jamaa atoe hela ndio...
4 Reactions
30 Replies
924 Views
Nilipata safari ya kwenda kikazi, nilikaa huko kwa muda wa wiki Moja then nimerudi nyumbani dar es salaam Leo nimeikagua simu ya mke wangu nimekutana na sms ambazo alikuwa anatumiana na dada wa...
42 Reactions
187 Replies
11K Views
Wanaume wenzangu kuna ubishi hapa? Mbuzi kagoma kwenda, yaani baby mama anakuwa amepiga magoti huku amejibinua kidogo alooo 😋😋😋 Utamu wa hii style mwanamke awe na nyama laini (steki) vimbaumbau...
19 Reactions
227 Replies
22K Views
Kama inavyosomeka hapo juu Kuna demu kaja hapa ghetto wiki sasa inaisha haoneshi dalili ya kuondoka Nawaza nitumie njia gani ambayo haitaleta lawama kwa upande wangu pindi nitakapomtimua huyu...
9 Reactions
101 Replies
4K Views
Kumekuwepo na wimbi kubwa la "Vijana wa ovyo " wakiendesha kampeni yao maarufu Kama Kataa ndoa! Wengi wanaopinga ni kuonyesha kiasi gani jamii yetu inakosa maadili! Mwanaume anaogopa na hawezi...
16 Reactions
218 Replies
5K Views
Moja ya jumbe nyingi ambazo nimekua nikipokea PM kwangu ni watu kutaka kujua mwanamke yupi ni sahihi kumuoa. Leo nataka kuliezea ilo suala kwa faida ya wote. Katika andiko hili nitafanya rejea ya...
28 Reactions
139 Replies
7K Views
Back
Top Bottom