Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Unakuta mtu kaoa lakini nyumbani kwake hatulii muda wote yupo na marafiki wakiburudika na kuzengeazengea huku na huku. Mtu wanatumia muda mwingi kuwa na marafiki kuliko mke wake yani yeye...
4 Reactions
14 Replies
485 Views
Naomba kujuzwa wadau. Maungaunga Yale na, wakati mwingine, ngozi inachunika mpaka majimaji yenye harufu mbaya yanatoka kwenye makutano ya mapaja vina athari gani kiafya ya uzazi?!! Karibuni.
0 Reactions
31 Replies
1K Views
Wakuu, yaan hapa bora kununua tu kuliko kuleteana mambo ya ajabu.
36 Reactions
281 Replies
10K Views
Mkeo ana tatizo la kutokwa damu muda mrefu sana,Siku ya siku ya anakwambia ameamua kumtumia picha ya damu kakaake ili ajue madhila anayopitia, Huamini unaamua kuchukua simu yake ili ujionee...
4 Reactions
64 Replies
2K Views
Wanawake wengi sana wa kiislamu ila sio wote ndiyo wanaongoza kuwa na maadili na heshima kwa Taifa hilo pia ndiyo wanaongoza kukaa kwenye ndoa na kuwatii waume zao na hii kitu nimekifanyia utafiti...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Hapa Vip!! Juzi niliamua kufanya utafiti fulani ili nijue ni kwa Kiasi gani hiki kizazi cha sasa kimeamua kumuasi Mungu kwakukafanya vitendo vile vya sodoma. Ukweli utafiti wangu nilifanya kwa...
7 Reactions
28 Replies
20K Views
Inafikirisha sana, sisi wanaume tumekuwa tukimaliziwa vipato vyetu na hawa warembo tunaowapenda au kuwatamani. Imekuwa ni kawaida, ili upate huduma na heshima ni lazima ugharamikie kwa namna...
9 Reactions
80 Replies
2K Views
Ukiambiwa hili neno ujue mwanamke ameshakupenda. Ukiona mwanamke anakuambia "Msalime umpendae' au umpendae hajambo! katika maongezi yenu fahamu tu ushapendwa na kukubaliwa moja kwa moja . Japo...
42 Reactions
172 Replies
8K Views
Habari wana-JF! Tarehe 16 December 2018 nilileta uzi wenye kichwa " Nataka nifanye maamuzi ya kuachana na mke wangu"Nataka nifanye maamuzi magumu ya kutengana na mke wangu - JamiiForums. Baada ya...
31 Reactions
99 Replies
17K Views
Wakuu, Ndoa ni starehe na ni sherehe kuu hapa duniani,hujaoa basi bado haujaonja starehe hiyo duniani. Wewe ambaye haujaoa au kuolewa nini kinasababisha usifanya hivyo? Cc binti ndege
3 Reactions
43 Replies
1K Views
Njoo mjini ujionee mwenyewe. Mjini ni bahari ambayo usipoiingia kwa hekima lazima ikuzamishe, maana katika bahari hii wapo Nyangumi, Papa na vipapa vyote vinameza. Mjini kuna kodi ya nyumba, kodi...
1 Reactions
6 Replies
413 Views
kwanini wanawake wengi siku hizi wanapenda kuingiliwa kinyume na maumbile? Naomba mawazo yenu wana JF ------------------------------ Asilimia 26.5 wanawake hufanya mapenzi kinyume na...
9 Reactions
2K Replies
717K Views
Wanawake muwe na huruma aisee, imagine jamaa anatoka na mwanamke mkoani Kigoma vijijini ndani ndani anaenda nae mjini Dar es salaam, anapambana kufa kupona familia ile ishibe na bills zote...
9 Reactions
83 Replies
3K Views
Ni hali ya mtu kushindwa kuvumilia hali zisizoendana na matarajio yake, kukasirika haraka, kukata tamaa kirahisi, au kutaka matokeo ya haraka bila kujali mchakato. Mara nyingi mtu wa aina hii...
2 Reactions
1 Replies
389 Views
Nimechoka kuwa single natafuta mshangazi nimbebishe ajisikie yupo peponi kamayupo ajitokeze namba zangu zipo apo juu my location Dar es salaam Kigamboni 0768339259
1 Reactions
17 Replies
727 Views
Ipo ivi Mimi nimeoa tumebatika kupata mtoto wa kiume saizi ana miaka 2.5 alivyo jifungua mtoto nilimwambia saizi kutafuta mtoto mpaka maisha yakae sawa tu dili na kutafuta pesa kwaza maana...
2 Reactions
4 Replies
444 Views
Hello ushauri wenu jamani Kuna mwanaume nipo nae kwenye mahusiano anafanya kazi bank fulani,ni mpole ananijali siku ya kwanza ku meet tu bila kufanya chochote akanitembezea 30k tuli meet sehemu...
7 Reactions
36 Replies
2K Views
1. KUMBIKUMBI Hawa huongozana kila mahali. Yaani wanapendana hadi mahasidi wanatamani wanywe maji ya betri. 2. WAPAMBANAO Hawa muda wote hupambana , hubishana na kurushiana maneno na kukosoana...
5 Reactions
29 Replies
1K Views
SHANGA Dr `DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️ Je wajua kuwa kuna wakati mwanamke anaweza kuvaa ushanga kiuno ushanga ule ukawa na maana ya kujotolea mkosi Kwa asilimia chache kuna wanawake huwa wana...
2 Reactions
44 Replies
2K Views
Back
Top Bottom