Tumbili in town
JF-Expert Member
- Jun 20, 2025
- 422
- 686
Habari, Kwa anaefahamu namna au tiba ya kuzuia kuwaza tendo, maana nashindwa kufikiria mengine Kila mda ni tendo tu
Tangaza nia ya kugombea urais kupitia chaumaHabari, Kwa anaefahamu namna au tiba ya kuzuia kuwaza tendo, maana nashindwa kufikiria mengine Kila mda ni tendo tu
La ndoaTendo gani?
Nipe ushauri blohTangaza nia ya kugombea urais kupitia chauma
Kipi ambacho hujaelewa mkuu ?Nipe ushauri bloh
If u r hornyyy then u r alive my friendLa ndoa
Ina make sense, hii positive energy.. sasa namna ya kuitransform ndo kasheshe!Hauwezi zuia nguvu fulani Ila unaweza kuhamisha nguvu hiyo katika jambo lingine .
Mfano unachofanya unachukua lusting thoughts unaigeuza inakuwa productive thoughts.
Kuna pombe ya kichupa kidogo huku kanda ya ziwa jamii ya viroba inaitwa tendo, anaizungumzia hiyo. Ukipiga pafu mbili kichupa kimeisha, ila hata njia ya kwenda nyumbani huwezi kuionaTendo gani?