Hodi humu mabibi na mabwana.
Kwa heshima na taadhima naomba mnialike humu rasmi kwa maana humu ndimo kutakuwa makao yangu kwa asilimia nyingi. Nina ujumbe mzuri na mwingi kuhusu ndoa na...
Mwanamke, mwanamke, mwanamke, mwanamke, mwanamke.
Kuna mamilioni ya wanaume ndoto zao zilikufa kwa sababu ya wanawake, na kuna mamilioni ya wanaume ndoto zao zilisonga na kufanikiwa kwa sababu ya...
Wakuu wangu mulibwanji.....
Moja kwa moja kwenye mada iko hivi nilikutana na dada mmoja nikamuelewa sana nikarusha ndoano akatick.
Nimeshalala naye mara 3 ajabu kila baada ya tendo ananambia...
Umekuta mwanamke ana mume wake na wanandoa halali acha kuivuruga . Maana kwa sasa utaona sawa ila kwa baadae wewe na familia yako , mtakipata pata , mtapata kijitoto kingine kimteke mume wako na...
Wadau ushakutana na mwanamke yaani ukituma message lazima apige na usipokea ni mzozo , mnachati message mbili ya tatu anapiga .. hii inakera saana
Hawa huwa una deal nao vip maana nimeshaongea...
Nimeoa kwenye mkoa mmoja wa Kanda ya Kaskazini ambako huko kunatajwa na kuogopwa sana na watu wasio wa ukanda huo, kwani kunasifika kwa kuua mume akiwa na mafanikio.
Hii sio mara ya kwanza...
Habari wadau.
NIna baba yangu mdogo alikuwa bosi kwenye wizara moja serikalini. Alikuwa na cheo cha kamishna kwenye taasisi moja inayosimamiwa na wizara yake.
Mwaka 2021 Bahati mbaya baba mdogo...
Ugonile,
kwenye mahusiano usiombe ukakutana na kiboko yako, unaweza ukageuka mwehu.!!
Kama ambavyo kwenye maisha kuna wale ambao Mungu kawapendelea yan kila wanapogusa panaitika kiufupi hawajui...
Ni mtoto wa sister, kwa umbo lake la ubaunsa videmu vya uswahilini vinammendea sana. Sasa akatoka kimapenzi na binti mmoja huko Yombo. Sijui walifanya kwa makubaliano ya cash au ni mahaba tu...
Ukiwa na mke ambae ameajiriwa au amejiajiri utapata faida kama kusaidiana kweny gharama za maisha mfano ujenzi, ada za watoto na mambo mengine mengi.
Mke kama anaingiza kipato kimsingi maisha...
Ni Mikoa gani/makabila gani, Kuna uwezekano wa Kuoa/kuishi na wake zaidi ya mmoja bila ya watu kukutolea Macho?
Mpango no huu,
1. Kununua Ardhi ya kutosha
Kujenga Nyumba na kufanya ufugaji/kilimo...
Je ni vitu gani vinaashiria uanaume na ni vipi vinaharibu uanaume?
Kwangu mimi naona mwanaume, pamoja na kua na maumbile ya kiume, mwanaume anathibit hisia zake na kutumia mantik/ akili yake. A...
Hello wadau.
Ukweli mimi binafsi sijawai kuona mwanaume wa kiislamu mwenye kipato hata cha milioni moja tu kwa mwezi amefikia miaka 35 bila kuoa. Yaani Kuwa bila mke halali.
Ila nimeona...
Habari wapendwa.
Leo naanza kwa kumshukuru Maxence Melo kwa kuanzisha hii platform ambayo leo nitaitumia kusema kitu ambacho nikikisema ktk maisha yangu halisi nitaonekana wa ajabu na nina hakika...
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza nataka mke wa kuoa na sio natafuta,ninamaana .
Sifa zake ziwe;
Awe umri kati ya 19-23
Muislam
Kabila lolote
Awe brand new (BIKRA)
awe na uzioto 48-56
Elimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.