Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za muda huu marafiki zangu ...nipo mbele yenu kuwasilisha yaliyonitokea leo ..mimi ni msichna wachuo fulani apa tanzania nasomea shahada fulani..ninampenzi wangu apa chuon tupo kweny...
18 Reactions
188 Replies
17K Views
Ni kama wiki tatu zimepita huwa nikitoka ofisini huwa napitia kwenye kagrocery flani hivi mtaani kwangu, ni grocery ambayo ni mpya kitaani kwetu sasa kuna mmama flani hivi mtu mzima ambaye ni...
2 Reactions
58 Replies
4K Views
Natafuta mke wa kuoa Nina miaka 25 awe na kazi coz mimi mwenyewe Nina kazi awe mkristo niko serious Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Natafuta mke wa kumuoa mkristo Na awe ana umri kuanzia 24-31 kama upo tiyar njoo pm Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika jitihada zangu za kwenda kujilinda na wale wanaotumia madawa ya kututeka sisi wanaume,nimekutana na dhahama nyingine ya hiyo nyota ya nzige. Nimeambiwa nitoe laki nne ili nifanyiwe...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa upendo wao wote, kwa nguvu zao zote, na uzuri , mahusiano ni kama mmea ambao unahitaji kumwagilia maji na kuwekewa mbolea na kupata jua la kutosha ili uweze kunawiri vizuri Sababu kubwa...
3 Reactions
34 Replies
16K Views
Yes. Tuliishi wote zaidi ya miaka mitano na tukabahatika kupata mtoto mmoja lakini baadae tukaachana baada ya kutofautiana tabia. Imepita zaidi ya miaka mitatu tangu tumeachana lakini sasa...
9 Reactions
70 Replies
5K Views
Kwa mujibu wa Biologia, baada ya tendo la kukutana kimwili takribani mbegu milioni 200 hadi 300 hutolewa na mwanaume...halafu zote huanza kupiga mbizi kuogelea kwenye njia safarini kukutana na yai...
11 Reactions
6 Replies
1K Views
Niaje Wakuuu Natumain ipo vyema kwenu Leo katika Pitapta yotube uko nimekutana na Haka kavideo ka Wolper na Harmonize ila sema twende mbele turud nyuma huyu demu anaroho ya kitajir na kingine...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Jamani wanabodi, Mimi nina tatizo moja, unakuta nimempenda msichana lakini nikitaka kumtongoza najikuta mimi mwenyewe kujiona niko tabaka la chini, na hivyo hupelekea kusitisha zoezi la kutaka...
0 Reactions
60 Replies
7K Views
Kumekuwa na tabia ya kuwanyanyapaa na kuwakosea adabu wanawake wanene kunako 6 kwa 6 sasa tuondoe utata hapa,kati ya mwanaume mnene na mwamke mnene yupi mzigo kitandani? Sent using Jamii Forums...
1 Reactions
33 Replies
11K Views
Salaam wanandugu naomba kuuliza,hivi hivi vitu vinasababishwa na nini?!!! Chuki;Utakuta mtu anakua na chuki mbaya kwa binadamu mwenziwe bila sababu za msingi!Yaani anakuchukia tuu!hujamfanya...
16 Reactions
145 Replies
11K Views
Najua mimi ndo nimesababisha kupata hayo matokeo mabaya chuoni coz alikuwa stressed sana na tabia zangu za ukorofi so sitaki kumdisapoint nataka afanye mambo mengine hasa biashara na naamini...
2 Reactions
124 Replies
11K Views
Habari ya mchana, Karibuni tusikilize na kuimba wimbo wa bibi Kidude - Muhogo wa Jang'ombe pamoja na wimbo wa Ali Kiba - Dushelele...... Nimewaza.... hivi Marehemu bi kidude na Ali Kiba wangetoa...
3 Reactions
31 Replies
6K Views
Za asubuhi wadau wanajukwaa. Kwa takribani miezi kadhaa toka mwaka huu uanze nilikua na mahusianao ya kimapenzi na mrembo mmoja hapa mjini, ambapo wakati penzi linaanza lilikua tamu kiasi kwamba...
18 Reactions
75 Replies
7K Views
Hivi kweli MTU akioa anaweza kuacha Punyeto? Wenye uzoefu mtuambie hivi tangu muingie kwenye ndoa hamjawahi Chachua kweli? Huku wewe ukimuacha mkeo kitandani huku ukienda bafuni kama kukojoa huku...
1 Reactions
3 Replies
911 Views
Habari wanajamii, mwenzenu nipo njia panda kwanza nilizaa na demu ambaye tabia yake inanishinda na nikawa na demu mwingine ambaye anajua kabisa nina mtoto na anamjua demu niliyezaa naye but demu...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ujasiri ulinitoa woga na nikampa mume wangu penzi lililokua linanitesa kwa sasa nafurahia maana nimekua karibu nae sana na yeye pia ameongeza apetait ya kufanya mapenzi na amekua na wivu sana na...
7 Reactions
160 Replies
22K Views
Habari za muda huu mates, Tusipoteze muda, ni hivi, muda kidogo nyuma nlikuwa muajiriwa wa taasisi fulani hivi na mshahara wangu na wa mke wangu ukichanganya ulikuwa ni around 900,000/ (NET)...
7 Reactions
85 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu, Naombeni mawazo yenu, Dada yangu kanifuata leo ofisini akinieleza matatizo yake kama kaka yake ukweli nimemwambia asubiri mpaka kesho nitampa jibu. Dada yangu ameolewa na...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…