NGUVU YA KITANDA
Utafiti umeonyesha baadhi ya vitu vilivyosababisha ndoa za babu zetu zidumu ilikuwa babu na bibi kulala pamoja kwenye vitanda, ngozi za wanyama au mikeka yenye ukubwa usiozidi...
Kwanza wakinadada kuweni wavumilivu, tulieni, mkubaliane na ukweli kwamba hayo ndo maisha yenu ije jua, ije mvua, uje ukame, kije kimbunga mpambane coz hayo ndo maisha yenu na hiyo misukosuko...
Habari za usiku wapenzi na wadau wote wa MMU,
Kiukweli tu humu kuna miibuko ni ya mda sana juu ya kuilalamikia jinsia flani hasa KE mtu kaombwa 10000 tu atakuja kuanzisha uzi kuwa wanawake kwa...
Mwanamke anaekupenda kweli hawezi kukuomba wewe kitu chochote bali atachohitaji kutoka kwako sana sana ni muda wako na 'attention' yako kwake.
Hayo mengine kuhusu pesa, outing, shopping na...
Habari wakuu,
Kuna mkasa umetokea leo kwa jamaa yangu na imekua incident kama ya saba hivi yenye kufanana kuisikia.
Ni kwamba jamaa analalamika kuwa mke wake alibadilika ghafla tabia na baada ya...
Nianze na kutoa pole sana kwa walio pitia hii changamoto
Ilikuwaje siku uliyo pata taarifa mpenzi wako kafa ,hapa sizungumzii Mke na mume au mchumba hawa mapenzi yao yanakuwa yapo official na...
Ni mshkaji tulisoma naye chuo nilishawahi kumsimulia huko nyuma alikuwa mgeni kwenye mapenzi nlipoteana naye muda mrefu nimekuja tena kuanza kukutana naye siku za hapa mbele jamaa amebadilika...
Nilimleta mdogo wangu wa kike toka kijijini ili ajifunze masuala ya ufundi veta. Sasa mfanyakazi mwenzangu ambaye ni jirani yangu pia kamtia mimba wakati tayari ameshaoa na watoto wawili. Nahisi...
Goodmorning everybody
Nimekua nikifanya kautafiti kadogo out of curiosity ambako japo sio rasmi lakini kamenichukua kama miaka kumi hivi. Utakuta mwanamke ana mume/mchumba au mpenzi ambae yupo so...
Wanawake wana uwezo mkubwa wa kupoteza hamu ya kufanya tendo la ngono katika ndoa kulingana na utafiti wa tabia za ngono uliofanywa nchini Uingereza.
Utafiti huo umebaini kwamba huku wanawake na...
Halo Guys (Ladies and Gentlemen)
Kama uzi unavyojieleza,
Nimejitokeza hapa jukwani kutoa langu la moyoni
Incase kuna mdada umri chini ya miaka 28 anahitaji mchumba basi aniPM
Sifa: Awe mkristo...
Natafuta msichana wa kuanzisha nae mahusiano ili tue mke na mume kiuchumi siko vizur ila hicho kwenye picha ndicho kitega uchumi changu kwa alie tayar anichek 0718318745'; 0677950996
Sent using...
Mtafutaji hachoki, nahitaji mchumba (mke) awe anaishi kanda ya ziwa.
Mimi n kijana mjasiliamali nina umli wa miaka 33.
Ninatafuta mke mwenye umli kai ya miaka 26 hadi 33,
awe mkristo, elimu...
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana husika na kichwa cha habari hapo juu,
Katika mapenzi kuna ufundi na ustadi wake ingawa huo ufundi unatofautiana baina ya mtu na mtu kabila na kabila au taifa...
Huu uzi Utakuwa maalumu kwa wale waliotongozwa.wataje eneo Lao la kwanza kutongozwa/kutongoza N VEMA UKTAJA NA UMRI WA KWANZA KUTONGOZWA/KUTONGOZA.
Me eneo lang l kwanz kutongoza uwanja wa...
Habarini wana MMU
Nimekuwa najiuliza sana ninapoona mwanaume au mwanamke akipuuzia family yake kabisa na kuishi aina ya maisha isiyo na mwelekeo au matumaini kabisa.
Mfano unakuta mwanaume pombe...
Najiuliza kila siku aina ya mtu kama mimi, kwanza sipendi kutongoza unajua sina maneno matamu matamu kwa wasichana. Yaani mimi kumwambia binti mrembo kuwa naomba tukananii ni jambo rahisi sana...
Wana MMU
Kama title inavyojieleza
Ni sahihi kweli upo na mpenzi/mke/mchepuko wako kunako 6×6 mnagegedana lakini anakupa masharti umgegede kwa style moja au 2 tu ,
Ukimuuliza kwa nini anatoa...
Hi guys,
Mimi ni kijana wa miaka 26, fresher kutoka Chuo. Nahitaji msichana wa angalau 20-25 kwa ajili ya serious relationship na baadae ndoa. Awe muislam na awe awe tayari kuambatana nami popote...
Habari zenu wanajamvini,
Mimi ni kijana wa kiume ambaye nlikutana na dada mmoja hivi wiki 2 zimeisha sasa.Ilitokea tukazoeana kwasababu tunatumia njia moja kurudi nyumbani.
Siku ya kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.