Kwanini kwenye ndoa ni rahisi mwanamke kuasi/kubadilika kitabia anapoanza michepuko tofauti na mwanaume?

Grey256

JF-Expert Member
Sep 1, 2016
1,206
2,495
Habari wakuu,

Kuna mkasa umetokea leo kwa jamaa yangu na imekua incident kama ya saba hivi yenye kufanana kuisikia.

Ni kwamba jamaa analalamika kuwa mke wake alibadilika ghafla tabia na baada ya kufanya uchunguzi alikuja kugundua kuwa anatembea na boss wake kazini na alipojaribu kumbananisha mwanamke kampandishia kuwa wavunje ndoa.

Hii experience ya mwanamke kubadilika tabia anapoanza kuchepuka nimekutana nayo mara nyingi ila kwa upande wa wanaume ni tofauti, wengi tuna michepuko ya hapa na pale lakini ni mara chache sana kusikia kuwa michepuko imemfanya mwanaume abadilike kitabia(ndani ya ndoa/mahusiano)

Kwa upande wangu nimewahi kusikia mara moja tu.

Swali ni kwamba, ni nini kinapelekea hiyo tofauti? Au ndo mwanaume mashine?
 
Habari wakuu,

Kuna mkasa umetokea leo kwa jamaa yangu na imekua incident kama ya saba hivi yenye kufanana kuisikia...Ni kwamba jamaa analalamika kuwa mke wake alibadirika ghafla tabia na baada yakufanya uchunguzi alikuja kugundua kuwa anatembea na boss wake kazini na alipojaribu kumbananisha mwanamke kampandishia kuwa wavunje ndoa....
Hii experience ya mwanamke kubadilika tabia anapoanza kuchepuka nimekutana nayo mara nyingi ila kwa upande wa wanaume ni tofauti,wengi tuna michepuko ya hapa na pale lakini ni mara chache sana kusikia kuwa michepuko imemfanya mwanaume abadilike kitabia(ndani ya ndoa/mahusiano),kwa upande wangu nimewahi kusikia mara moja tu.

Swali ni kwamba,ni nini kinapelekea hiyo tofauti ? au ndo mwanaume mashine ?
Wanaume ndo mnaongoza kwa kubadilika tabia kuliko wanawake mi navyoona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu,

Kuna mkasa umetokea leo kwa jamaa yangu na imekua incident kama ya saba hivi yenye kufanana kuisikia...Ni kwamba jamaa analalamika kuwa mke wake alibadirika ghafla tabia na baada yakufanya uchunguzi alikuja kugundua kuwa anatembea na boss wake kazini na alipojaribu kumbananisha mwanamke kampandishia kuwa wavunje ndoa....
Hii experience ya mwanamke kubadilika tabia anapoanza kuchepuka nimekutana nayo mara nyingi ila kwa upande wa wanaume ni tofauti,wengi tuna michepuko ya hapa na pale lakini ni mara chache sana kusikia kuwa michepuko imemfanya mwanaume abadilike kitabia(ndani ya ndoa/mahusiano),kwa upande wangu nimewahi kusikia mara moja tu.

Swali ni kwamba,ni nini kinapelekea hiyo tofauti ? au ndo mwanaume mashine ?
Hapa siwezi kusema chochote
Ngoja nisubirie ya kwangu. Ila siombi mabadiliko katika ndoa Yangu.
Mungu aniepushe
 
Mwanamke anapoamua kucheat ujue kuna jambo nyuma ya pazia limemfika pomoni, na akicheat hupenda mazima yaaani anahamisha akili na upendo kwa mchepuko. Sasa shida ndo inaanzia hapo, kumuona mumewe ka kakake tu. Ni vyema wanandoa kutatua changamotoo za ndani mwenu mapema
 
kwa sababu kila wanandoa wakizinguana wanatishia kuachana,

Mimi nimeanza kujenga kanyumba kangu, baadhi ya vifaa nabadilisha umiliki na kuweka jina LA baba.

ova
Hiyo dhambi itakutafuna...acha mara moja !
 
Mwanamke anapoamua kucheat ujue kuna jambo nyuma ya pazia limemfika pomoni, na akicheat hupenda mazima yaaani anahamisha akili na upendo kwa mchepuko. Sasa shida ndo inaanzia hapo, kumuona mumewe ka kakake tu. Ni vyema wanandoa kutatua changamotoo za ndani mwenu mapema
Point nzuri
 
kwa sababu wanaume huchepuka tu kwa tamaa ya kingono so akishatimiza haja zake hurudi kwa mkewe, ila mwanamke huchepuka kwa hitaji maalumu either kutoshelezwa au fedha nkt, na mara nyingi ikitokea akipita hilo hitaji ni ngumu kumrudisha nyuma.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom