Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari, Hii ni kwa wale wazazi vijana wenye watoto vijana Utafanyaje kama: Utagundua mtoto wako wa Shule ya msingi au Shule ya Upili yuko kwenye mahusiano na wanaume umri kama wako (Wewe mzazi...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
Marafiki wa jukwaa Ni muda mrefu nimesikia na kushuhudia watu wakiwasema wanywaji/walevi wa pombe kwamba ukipenda pombe hutakuwa na maendeleo Imefikia hatua hata kubaguana katika jamii hasa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Dada, mume wako kama ana wapenzi wengi, anakusaliti na una vithibitisho, usipate presha..... Wewe badilisha hayo majina ya ving'asti vyake.....usifute majina.....we yachanganye tuuuu..... Kama...
7 Reactions
31 Replies
9K Views
Wakuu, Kuna jambo huwa nalitafakari sana lakini nashindwa kulipatia majibu ila kwa sababu baadhi ya wahusika wako humu jf nikaona ngoja leo niulize. Kama inavyojulikana vijana wa kiume wa kizazi...
2 Reactions
278 Replies
28K Views
Wakuu habari zenu, Poleni na majukumu ya hapa na pale, Nimekuwa nikifanya research sasa ni mwaka wa 4, yaani kila mwanamke nayempata ananiacha kwa namna ambayo najifikiria mala mbilimbili na...
4 Reactions
223 Replies
15K Views
Habari wajuvi... Kuna mtu kaniomba ushauri nmeshindwa kumsaidia imebidi nililete hili swala humu kwenye muunganiko wa watu wa aina mbalimbali ili tuweze kumsaidia. Yeye ni msichana amepanga...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Ndiyo! Msikilize mwanamke huyu aliyelelewa akaleleka vema.Minungayembe iliyoshindikandikana ndiyo inashindana na waume zao kuchepuka. Kwa wasio na MBs:- Kwa kifupi anaongelea ishu ya kucheat...
0 Reactions
174 Replies
11K Views
Zipo sababu mbalimbali ambazo zimenifanya nije hapa na kuleta thread ya kuwapa pongezi hawa wanawake wa aina hii, kabla ya sababu zitakazoorodheshwa hapo chini inatakiwa mjue nin sababu kuu ya...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Mi si kijana mudogo lakini katika ngano za mapenzi nimo! Nina mpenzi wangu na imezaa naye mtoto, ila familia yangu katu haifahamu isipokuwa wachache sana. Na kwa kweli huyu bibie si tu nampenda ...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Wakuu habari za humu, Niende moja kwa moja kwenye mada, nimekuwa na mahusiono na binti mmoja 20yrs mi nko 25+. Mahusiano yana kama miezi 6 hivi. Juzi nimegundua ana mahusiano na mtu mwingine...
2 Reactions
118 Replies
10K Views
Katika maisha yangu sijawahi kumuambia mwanamke kwamba "tuachane" au "sikuhitaji tena" na sio kama nashindwa kumtamkia mwanamke hayo maneno hapana ,huwa nahisi kama nikimtamkia hayo maneno...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Kabla ya kuoa unakuta mwanamke anajipendekeza ukweni mara ampeleke mama mkwe vizawadi ili mradi aolewe akishaolewa vitimbi vinaanza hataki kuona mwanaume anasaidia kwao. Lakini ukisaidia kwao...
0 Reactions
28 Replies
14K Views
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 28, mtanzania,Nimejitokeza kwenye safu hii ya marafiki kwa lengo la kutafuta rafiki mmoja wa kike ( mchumba), mstaarabu na anayejiheshimu, ambaye...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Wakuu sijaoa lakini nina mchumba ambaye soon tutaoana. Sasa kuna binti mwaka jana alikuwa anasoma chuo nilimpenda kwa dhati kwa nia ya kumuoa lakini akazingua ni mzuri sana na ilibidi nimtongoze...
2 Reactions
156 Replies
12K Views
Nimezaliwa katika jamii ya wafugaji Utamaduni wa jamii yangu hapakuwa na mtu aitwae Ngariba Makuzi yangu hayakuwahi kunifahamisha kuwa binadamu akishazaliwa kuna fundi ambae uyarekebisha...
3 Reactions
75 Replies
14K Views
Leo ofisini tumepata mfanyakazi mpya ka binti kapya kapya namba D Mungu si athumani kawekwa under my supervision Huyo binti kaivaaa tayari kuliwa Niko nae muda wote kuna muda nikamwambia ebu...
4 Reactions
80 Replies
7K Views
Habari zenu Kwa muda mrefu nimejiuliza sana endapo raia wa kawaida nitafall in love kwa mtoto wa mtu mzito kama Rais/ makamu wake au mtoto wa waziri mkuu Hivi hapa huwa tunatumia process gani...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Mm ni msichana mw umri wa miaka 24 ni miongoni waliojaaliWaa kuolewa ndoa za mapema maana nilifunga ndoa na mume wangu nikiwa na miaka 20:mpaka sasa nimedumu kwa takriban miaka minne...
2 Reactions
49 Replies
7K Views
Dada zetu wanao jichubua, naona walikuwa wanafikiri kuwa pengine hawaonekani baada ya kuona mitongozo inaadimika kila ipitapo siku, lakini wamesahau hivyo ndivyo wanatakiwa kuwa.Mungu ndivyo...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Mimi mwenzenu tangu ningiee katika ulimwengu wa MAPENZI jambo zitto AMBALO siwezi kulisahauuu, Ni siku ambayo mpenzi wangu ninaempenda aliponitamkia BILA sababu yoyote ilee *SIKU MPENZI WANGU...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Back
Top Bottom