Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ni muda mrefu sasa nimeamua kukaa kwa mbali kuona picha linavyosonga mbele (mapenzi). Hii ilitokea baada ya mimi binafsi kuona nimechoka kukimbizwa utadhani niko JKT.. Alaah! Nimekuwa nawapenda...
7 Reactions
71 Replies
9K Views
Habarini wapendwa, Hivi karibuni nimetoka katika mjadala mzito (mabishano) na mama wa jirani, mabishano yalianza kama mjadala wa sababu za ndoa nyingi kuvunjika, kilichonigusa zaidi, kipengele...
6 Reactions
79 Replies
7K Views
Habari yenu wana MMU wote, Niende kwenye mada ya leo, kuna kitu nimekinotice kwa walio kwenye ndoa nilikaa na binti flani hivi ameolewa(sina mahusiano nae lakini) kuna kazi tulikua tukiimalizia...
7 Reactions
98 Replies
12K Views
Hasira bila ushauri siku zote ni matatizo, na matatizo mda mwingine hupelekea mtu kubadili mfumo wake wa maisha. Sipendi mfumo wangu niubadili ndio maana naomba ushauri. Dawa nzuri ni ipi kwa...
3 Reactions
108 Replies
22K Views
Habari za muda huu wana jamvi, Leo nimekuja na mambo kadhaa kuhusiana na tofauti kati ya wanawake wa jiji la Dar na mikoa mingine japo hao waliopo Dar nao wanatoka mikoa tofauti ikiwemo mikoa...
2 Reactions
23 Replies
5K Views
Kijana mwenzangu mwenye familia epuka kujidai unapenda michepuko-pori inayotaka kuhudumiwa kuzidi mkeo na wanao, hizi ndo gharama kuu za michepuko ya mjini; 1. Kodi ya nyumba (miezi 6 au mwaka)...
35 Reactions
146 Replies
21K Views
Wanajamvi habarini nyote Nimeulizwa na demi wangu "una malengo gani na mimi?" Nawaza nimjibuje. Nisaidieni ushairi/maoni Nawasilisha
0 Reactions
41 Replies
10K Views
mimi kama mwanafunzi wa chuo kikuu nimetafakari ni bora ni kawa na mpenz hata wa kufarijiana na kupeana mawazo mawili matatu lakini nawaza sana juu ya mambo yafuatayo ,,1]kuombwa pesa,2]kupeana...
5 Reactions
77 Replies
7K Views
Habarini za Jumamosi ndugu zangu, Siku si nyingi nilileta uzi humu unaohusu siku 30 nje ya puli, niliendelea kutunza afya yangu vizuri lakini siku ya jana nilijaribu kuangalia tena kwa kiasi gani...
10 Reactions
76 Replies
7K Views
Habarini wana MMU Mimi ni kijana wa miaka 27 nnaejiweza kumudu mahitaji yangu na hata ya famiilia ingawa mimi ni mleemavu nmebaatika kusoma na kupata kazi. Nipo single hii ni kwasababu my...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Imefika wakati baada ya kujitathimini na kuona nnatosha kuwa na mwenzi wa maisha nimeamua nije kwa wanajamvi hususani wanawake na niko very serious na hili jambo nimeona nije niliwasilishe kama...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Naomben kuuliza nan ana ushahid au alisha pata tatizo 7babu ya puli ( mgalala)?
0 Reactions
46 Replies
7K Views
Habari wanajamii forum,Leo ningependa nizungumzie jambo moja kuhusu wanawake,wanaume wengi tumekuwa tupigwa kibuti na wanawake tunaowatongoza bila kujua sababu nni na wakati mwingine huwa...
3 Reactions
29 Replies
5K Views
Habari wakuu, Kwa mazingira ya kawaida na uzoefu wangu huwa naona wanawake wenye uwezo wanaogopwa na wanaume. Ni kwa nini vijana wanawaogopa au kuwanyanyapaa wanawake wenye pesa/wanaojiweza...
2 Reactions
43 Replies
9K Views
Habari wana Jamii forums natumaini mko poa sana. Leo nipo tena hapa kupeana maarifa,ningependa kutoa udhoefu wangu,juu ya matatizo ya wanawake wenye wivu mkubwa,kwani ninavyojua "wivu"ni moja...
8 Reactions
120 Replies
32K Views
Jf single somen kichwa cha habar na mchukue hatua
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanaume wakiwa kazini kubomoa nyumba hii yenye ghorofa kwa kutumia nyundo. Ni kazi ngumu na ya hatari kwa kutumia vifaa vya karne ya 10 kama sikosei. La kusikitisha kuna huyu baba na kaka hapa...
5 Reactions
53 Replies
5K Views
Habari waungwana, Nimekuwa sina hisia na mume wangu kwa miaka 5 sasa chanzo cha yote haya ni jinsi anavyoishi nami, amekuwa hanijali, ananichukulia kama mleaji wa wanae basi yaani amekuwa anajali...
11 Reactions
159 Replies
18K Views
Wakuu habari zenu, Najua weekend yenu inaenda vyema kabisa na mapumziko murua baada ya kumaliza mchakamchaka wa kutafuta riziki kwa mda wa siku tano. Wakati mkiwa mnapata mapumziko hayo siyo...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Heshima kwenu wakuu Kama nilivyotangulia kusema najikuta mtumwa wa wanaume weusi nikimaanisha mwanaume mswahili lakini mwenye ile rangi ya weusi Alitokea mwaume mmoja akanipenda sana kipind cha...
36 Reactions
147 Replies
20K Views
Back
Top Bottom