Anadai anataka kuwa na mimi

Anadai anataka kuwa na mimi

Erick Kas

Member
Joined
Feb 13, 2017
Posts
20
Reaction score
1
Habari zenu wanajamvini,

Mimi ni kijana wa kiume ambaye nlikutana na dada mmoja hivi wiki 2 zimeisha sasa.Ilitokea tukazoeana kwasababu tunatumia njia moja kurudi nyumbani.

Siku ya kwanza nlmwomba namba ya simu akanambia nimpe yangu atanitafuta mwenyewe, haikuwa shida nikampa.Siku moja ikapita akanipgia akanambia mimi Aksa(mfano tu).

Siku iliyofuata alipokuwa anarudi akaomba turudi wote, haikuwa tabu.Siku zimeenda ikawa kila sku anataka turudi wote akidai anapenda kuwa na mimi, imetokea nmempenda dada yule lakini nlipochunguza nkagundua anaboyfriend lakini yuko mkoa mwingine.

Siku mbili zilizopita,nikamuuliza kama anaboyfriend,akanambia anaye lakini ilimchukua dakika 10 kunijibu kama anafurahia uhusiano na huyo boyfriend wake as alibaki ananitazama machoni tu ila akaishia kusema yes,haikuwa shida.

Siku iliyofuata nlmwambia hisia zangu kwamba nampenda sema tatizo ameshawahiwa kwasababu nlhisi nkinyamaza ntaumia mwenyewe bora nmwambie ukweli as nikahisi kuna mzigo ntapunguza moyoni mwangu.

Alchonambia ni kwamba, "Anahisi ananipenda pia ila nimpe muda kwanza aachane na boyfriend wake wa sasa".

Naombeni ushauri,je haya ni mapenzi ya kweli na kama ni ya kweli,nifanye nini nijue kama ni mapenzi ya kweli au ndo namna gani nitaishia kuwa mchepuko?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habar zenu wanajamvini.
Mimi n kijana wa kiume ambaye nlikutana na dada mmoja hivi wiki 2 zmeisha sasa.Ilitokea tukazoeana kwasababu tunatumia njia moja kurud nyumbani.
Siku ya kwanza nlmwomba namba ya simu akanambia nimpe yangu atantafuta mwenyewe,haikuwa shida nikampa.Siku moja ikapita akanipgia akanambia mimi Aksa(mfano tu).

Siku iliyofuata alpokuwa anarud akaomba turud wote,haikuwa tabu.Siku zmeenda ikawa kila sku anataka turudi wote akidai anapenda kuwa na mimi,imetokea nmempenda dada yule lakini nlipochunguza nkagundua anaboyfriend lakn yuko mkoa mwingne.

Siku mbili zilizopita,nikamuuliza kama anaboyfriend,akanambia anaye lakini ilimchukua dakika 10 kunijibu kama anafurahia uhusiano na huyo boyfriend wake as alibaki ananitazama machoni tu ila akaishia kusema yes,haikuwa shida.

Siku iliyofuata nlmwambia hisia zangu kwamba nampenda sema tatizo ameshawahiwa kwasababu nlhisi nkinyamaza ntaumia mwenyew bora nmwambie ukwel as nkahisi kuna mzigo ntapunguza moyoni mwangu.

Alchonambia ni kwamba, "Anahisi ananipenda pia ila nimpe muda kwanza aachane na boyfriend wake wa sasa".
Naombeni ushauri,je haya ni mapenzi ya kweli na kama ni ya kweli,nifanye nini nijue kama ni mapenz ya kweli au ndo namna gani nitaishia kuwa mchepuko?


Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji115] Kumbe kushare njia moja ya kurudi nyumbani ni dili![emoji53][emoji53][emoji53]
 
Kama anaacha uhusiano aliyokuwa nao kisa umbali... tambua kwamba hata wewe ipo siku utafanyiwa hayo hayo...

Tabia ni kama ngozi...

Follow your heart and carry your brain with you...


cc: mahondaw
Me nmesema jamaa yuko mbal sjasema ndo 7bu,mayb kanpenda ha2wezjua!
 
Back
Top Bottom