Taja eneo la kwanza kutongozewa

simba songea

JF-Expert Member
Feb 8, 2016
1,498
1,211
Huu uzi Utakuwa maalumu kwa wale waliotongozwa.wataje eneo Lao la kwanza kutongozwa/kutongoza N VEMA UKTAJA NA UMRI WA KWANZA KUTONGOZWA/KUTONGOZA.

Me eneo lang l kwanz kutongoza uwanja wa shule nkiwa 12 yrs darasa la 5
 
Nakumbuka ilikuwa darasani kulikuwa hamna kipindi nahisi ni darasa la 5 11yrs kama sijakosea.
Mnyama si nikafunguka mule mule mtoto akanipa condition nimuimbie nyimbo fulani sikumbuki ni nyimbo gani aiseeh mtoto anikubali.
Kumbe lile song na mimi nilikuwa sijameza lyrics daaah shambulio langu la kwanza mtoto ndio nikamkosa hivyo.
 
Back
Top Bottom