Enyi wanawake wa leo

D Metakelfin

JF-Expert Member
Mar 23, 2017
3,160
3,259
C&P
ASILIMIA kubwa ya WANAWAKE wanapenda kuwa na WANAUME wanaojiweza kiuchumi "BIG BOSS", Lakini wanapotambua kwamba wameshaoa hushangaa sana na huumia sana na kusema WANAUME wote ni WAONGO!
WANAUME sio waongo ni nyie wenyewe ndio mnashindwa kufanya uchunguzi.
Tulishaambiwa au nilishaambiwa na MAMA! MWALIMU CHECHE( Mwalimu wa wengi ) kwenye kila mafanikio ya MWANAUME nyuma yake kuna MWANAMKE!!! Na ww unataka mwanaume mwenye mafanikio unategemea nini sasa??? Huyo sio MUMEO mtarajiwa, huyo ni MUME wa mtu FULANI upo!!!!! Ni agharabu sana kukutana na mwanaume anayejiweza kiuchumi akawa SINGLE, either uwe SHAREHOLDER ya mwanamke mwen zio *hahahahahaaaa* kitu ambacho sio cha BUSARA!
Mume wako yupo ANAPAMBANA NA HALI YAKE ili kutoka kimaisha anapigania ndoto zake.
Huenda yupo Chuo,Shule,Shamba, Dukani au anabeti, kimsingi yupo anapigania kuchomoka kimaisha! Anakusubiritu ww umpe support na back up ya kutosha, Mtafute huyo uanze nae CHINI.
********MTACHOMOKATU
KIMAISHA****

Credit:nlikoicopy
 
Wanaume simameni katika uanaume wenu, yani siku hizi mpo busy kutaka support kutoka kwa wanawake, mwanaume mzima unataka mwanamke akuhudumie ndo maana mnafanyiwa tunayofanyiwa wanawake
 
Na miaka 35 kweli unanambia mume Wangu yuko chuo Hahahaaaa acha nimsubirie amalize nimbemende vizur.
 
Nyuma ya mafanikio ya mwanaume yupo mwanamke aitwae "mama".

Kwahiyo apambane na kubet siku akifanikiwa aje.
 
Wanaume simameni katika uanaume wenu, yani siku hizi mpo busy kutaka support kutoka kwa wanawake, mwanaume mzima unataka mwanamke akuhudumie ndo maana mnafanyiwa tunayofanyiwa wanawake
Na ndio maana heshima yao imeshuka sanaaa, hawajitambui, wapo wapo tu, hawajiongezi, wavivu, kutwa kushinda mitandaoni.........
Kazi ipo.
 
Wanaume simameni katika uanaume wenu, yani siku hizi mpo busy kutaka support kutoka kwa wanawake, mwanaume mzima unataka mwanamke akuhudumie ndo maana mnafanyiwa tunayofanyiwa wanawake
Kipi dadaa icho kinachofanyiwa
 
Na ndio maana heshima yao imeshuka sanaaa, hawajitambui, wapo wapo tu, hawajiongezi, wavivu, kutwa kushinda mitandaoni.........
Kazi ipo.
Hapo sasa mtandaoni 24hrs afu eti mwanamke ahudumie family ufwara huu
 
Back
Top Bottom