madala mujipa
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 1,421
- 864
Amani kwenu wadau.
Kutokana na maisha kuzidi kupanda kipato kuwa hafifu, wife ameamua kubuni kajimradi kake cha kutengeneza chapati ili naye kidogo ajikwamue na ugwadu wa life.
Tatizo lipo hapa, juzi nimekaa hapa na wengi wa wateja ni wapita njia hawajui kama mmiliki wa ile mali ni mimi. Maana wacha kidogo nimsifie wife, mungu amemjaalia. Hivyo wakifika pale wanataka kuonyesha ufundi wa kununua chapati na kuonyesha vibunda vya pesa na kuna watu wasiojulikana huja na gari lenye namba la jina binafsi limeanza na herufi BM..... Ninajaribu kuwatahadharisha huyo ni mke wa mtu na mapigo bado nayaweza. Mimi nimemtoa moshi huyo mwanamke na nyinyi katafuteni wenu. Kama mnataka kununua chapati, nunueni muondoke kuliko kuanza kumsifia mke wa mtu macho na miguu, nyie si pia mnayo.
Vijana, kuweni makini mtaumia. Mwenzenu nagharamia.