mtemi tagallah
Senior Member
- Apr 4, 2015
- 101
- 57
Habari zenu wanaJF,
Miaka michache iliyo pita nilikuwa nikipata mikosi yaani nakusudia binti anakupenda mwenyewe anaomba uhusiano na wewe pia akiwa na nia umuoe, wewe unajitolea mnafika hatua ya kutambulishana pia anakujali vizuri na mwishoe anaanza vituko na kukuacha, hii mikosi imewahi kunitokea Mara nyingi? Lingine kijana (umri kati ya 23-27) kupendwa na mwanamke sawa mama yako na kukuhitaji kimapenzi.
Wakuu hii mikosi nini tatizo au nini maoni yenu?