Habari zenu
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Ndugu yangu kipenz analazimishwa kupeleka mchumba nyumbani na aolewe sababu kubwa ni amelelewa sana na ndugu hivyo wengine wanataka aolewe kwa nia...
Habari za humu ndani?
Kwa heshima kubwa najitokeza hapa kutafuta MKE MGUMBA
Mimi ni Mwanaume mwenye umri wa miaka 48
Nimejitokeza hapa kutafuta MWANAMKE MWENYE KUSHINDWA KUPATA MTOTO AU...
Kiufupi tuu miaka ya sasa vijana ni tofauti na wa zamani labda ni kutokana na kuongezeka kwa technologia na wengi wanakwenda shule au pengine ni wachache ambao nakuwa na urafiki nao.
Miaka ya...
Habarini za jumamosi wapendwa wa jukwaa hili. Happy sabbatical.
Naenda direct kwenye point yangu nimekuwa nakerwa kwa muda mrefu kwa watu wasiowaelewa kuwasakama baadhi ya kina dada kuwaita wauza...
what do love mean to different people? every single person come out with his or her own definition of love according to impact fallen up on him or her, there we are and how we see as secret of...
Salaam wana jf
Mimi ni miongoni Mwa vijana tunaopambana na hali zetu kwa kujiari kupitia biashara ndogondogo zinazotuwezesha kupata riziki japo kwa nguvu kubwa.
Mwaka 2015 nilihitimu...
Kweli nimeamini haya maneno.
USTAARABU ANZA UTOTONI UKIANZA UKUBWANI UTAISHIA NJIANI.
Rafiki yangu wa damu kabisa, ninavyosema wa damu namaanisha kuwa ni rafiki ambae nimeshibana na tumeshibana...
Hili tukio limenihuzunisha sana kwa kweli.
Kuna mwanamke alienda kwa mganga wa kienyeji ili kupunguza nguvu za kiume za mume wake kwa sababu jamaa alikuwa ana nguvu kuliko hata simba dume. Jina...
Habari zenu jf members!
Kati ya vitu adimu tulivyojaliwa wanawake ni hali ya kuficha hisia katika mambo ya mahusiano, iwe kupenda,ham ya kusex, siku zote ni vigumu msichana kumtamkia mvulana kuwa...
Wanaume wenzangu wenye vipato vikubwa, vya kati, na vya kawaida, tupeane mbinu za kukabiriana na wanawake wa aina hii, maana wanajiamini sana, wasumbufu baadhi Yao huko katika ndoa ni wababe Kama...
Habari wakuu,
Nategemea kufunga harusi mwezi November katikati, nina group la whatsapp kwaajili ya kuhamasisha ndugu na marafiki kuchangia harusi.
Kila siku mimi ndio nimekuwa nikituma sms za...
Daaahh! Kuna kipindi naona mi ni kama nina damu ya kunguni naishi kama mende tu chooni sitakiwi, nyumbani stakiwi. Kila sehemu nina lawama wamenichoka. Haya mambo yamefikia hatua yananifanya...
Jamaa mmoja kutoka Kenya amabaye ni mwandishi alijifanya Mzungu kwenye Tinder ile aone vile wanawake watakavyompokea. Walijileta kwa wingi.
========
When it comes to the dating market, not all...
WONDERS SHALL NEVER END
These 3 gals found out that they have been impregnated by the same man and what they did is to regroup for a group photo. They shared this pic on their instagram pages...
Hapa ninaposema kujiachia sina maana kujiachia wakati wa faragha kufurahia tendo. Bali nazungumzia kujiachia kwa bahati mbaya ama makusudi na kutojali ama kuzingatia ni idadi ngapi ya watu...
Kwangu kipindi ambacho kilinivutia sana ni kipindi cha kampeni za uchaguzi nchini Marekani.
Ni pale Obama akiwa katika kampeni kwenye moja ya majimbo kugombea duru ya pili ya uraisi...
Wakuu,
Nachukua break kidogo kuchangia hapa.Mitihani yangu ya mwisho imenibana sana,Inanitoa Jasho.Nimejaribu kutenga muda kidogo wa kuchungulia humu ,Jukwaa la siasa,Uchumi,jukwaa la kimataifa...
Wakuu bila kupepesa macho wala kumung'unya maneno ngoja niende moja Kwa moja katika mada.
Baada ya kusikia masifa kibao kutoka Kwa watu nbali mbali kuhusu mabintiW a kitanga na hatimaye leo...