Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Asubuhi ya leo nilipoamka baada ya kusali na kufanya tafakari fupi niliamka na kwenda nje ili niweze kuliwahi jua la asubuhi ambalo kwa kweli huifanya siku yangu iwe nzuri sana nilitoa simu yangu...
3 Reactions
40 Replies
14K Views
Habari Zenu Ndugu zangu . Leo nakuja Na Hiki kitu Ambacho Kidogo naona Dada Zetu Mnajisahau sana. Na Hakuna Kitu Kinampa Mtu heshima kama Familia. Mwanaume usipooa Utasemwa Ila Mwanamke...
5 Reactions
29 Replies
4K Views
unajua sisi wanaume mabaradhuli/mabazazi tuna mbinu nyingi sana za kupata demu tunapomuhitaji. nlipokuwa chuo nakumbuka nliwah mpenda mtoto mmoja ila alikuwa ana nata sana,hajatulia na halafu...
16 Reactions
37 Replies
5K Views
Siku hizi imekuwa kawaida unakuta binti hana kazi na hata shule pengine hakwenda inavyopasa na kuolewa hajaolewa au hana mtu anaefahamika. Lakini unakuta binti huyo analetewa shida za ndugu hadi...
4 Reactions
78 Replies
5K Views
Dunia ina mambo kweli na kama unaendelea kushangaa ya walimwengu bila shaka utajionea ya firauni. Wachumba waliodumu kwa miaka sita kwenye uchumba wao bila kuingiliana kimwili wamejikuta kwenye...
3 Reactions
40 Replies
15K Views
Nina mchumba wangu jamani huyu kaka mimi simuelewi tumepanga kuishi pamoja kuanzia DEC swala linakuja mimi nakaa kwangu na yeye anakaa kwake yeye anakazi nzuri inamuingizia kipato kizuri tu kwa...
3 Reactions
55 Replies
5K Views
Mitandao hii ya kijamii imekuja na mambo mengi ikiwemo mahusiano. Watu wanakutana, wanachangia mada, wanaelewana, mwisho wanatafutana kuonana, na mahusiano yanaenda nje ya mitandao. Tumeshuudia...
10 Reactions
68 Replies
6K Views
Mimi naitwa Peter John ni mkazi wa Dodoma nina umri wa miaka 27, natafuta mchumba wa kuoa, awe na sifa zifuatazo; Awe na elimu kuanzia form four Awe mkweli Kwa mawasiliano zaidi namba yangu ni...
1 Reactions
42 Replies
6K Views
Eti wanajamii kati ya kupenda (love) na kutamani (lust) kipi kinaanza?
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Umemfahamu binti na moyo wako umemkubali. Umemzoesha kumpa lift na ile vitz yako ya mkopo kumrudisha kwao akitoka kazini. Ijumaa ya leo anakwambia atapitia kwa mama mdogo Upanga kuna mzigo wa...
27 Reactions
111 Replies
11K Views
Mimi kama mdau wenu wa jamii forum nilileta uzi huku wakufarakana na mr nilifanyia kazi mawazo yenu nikajifanya mjinga mambo yakaenda sawa siku zote unaambiwa bora kujifanya mjinga ili uwe na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu habari gani, Poleni kwa kulala na hongereni kwa kuamka salama, ni asubuhi ingine tena ya baraka Mungu katupatia; kwa wale walio double nawapa pole kwa uchovu wataoamka nao, ila...
2 Reactions
45 Replies
5K Views
Natafuta rafiki ambaye tutafahamiana na mungu akijalia awe mchumba Kama tutaendana Awe mkiristo na mwenye hofu ya mungu wa Kabila lolote Awe mzuri wa roho na mwili yaan rangi ya maji ya kunde au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Zamani ilikuwa ni kama tabia hivi kushuhudia mabinti wakilia hadi wakitoa machozi siku za ndoa zao Lakini Anadumu kwenye ndoa...ILA SIKU HIZI SASAAAA...Unamkuta mdada mimacho kodoooo na kulisakata...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Iam single,am looking for a single man aliyetayar kwa mahusiano serious,Kama uko below hiyo age ,pls...dont bother kunipm....naomba wew kaka ambaye hauko serious usinipm I am 28, Naishi Dar...
7 Reactions
97 Replies
10K Views
Hellow JF, Mimi ni mwanamke, nina rafiki wa kiume ambae tumezoeana sasa kuna ishu ambayo nilitakiwa kufanya, ila nilishindwa kuitekeleza kwa sababu ya kupungukiwa kiasi cha fedha, basi huyo...
3 Reactions
329 Replies
25K Views
Habari za jioni wenzangu, Hivi wadada mnasumbuliwa sana kwenye mitandao au ni kwakuwa mimi ni mgeni hapa? Mtu hakujui ashatoa ahadi kibao mara nina Carina, ooo mara kiwanja changu nakifanyia...
16 Reactions
304 Replies
25K Views
Mimi mwenzenu nahisi na tatizo .yahni mm ni miongoni mwa wasichana watulivu na wanaojua kulidhika wanapokuwa na mpnz n Huwa nakuwa mmoja tu tatizo langu kubwa ni wivu..nina wivu sana na...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Habar ya weekend Kuna baadhi ya warembo huwa nawashangaa wanavyolialia baada ya kuachwa ukweli huwa wanajiroga wenyewe ndo maana mnaachwa Nasema hivi kwa sababu Mdada unasuka nywele unakaa nazo...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…