Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Siku ya harusi pete zenu zilibarikiwa na mlivalishana. Kamati ya harusi iliandaa usiku mmoja Kempinski kabla hamjasafiri kwenda Serengeti kwa honey moon. Mmetoka tu reception bwana harusi...
10 Reactions
99 Replies
12K Views
Hellow wakuu, Kwa wale tunaoishi kwa kuunga unga , tunaofanya kazi za kijungu jiko, Leo nawaletea chimbo la kujipatia watoto kirahisi kabisa, Unachotakiwa kufanya hakikisha upo kwenye magroup...
1 Reactions
19 Replies
17K Views
Huyu binti ni jilani angu hapo mwanzo nilimtokea akakataa kabisa lakini siku zilivyozidi kupita akawa anajikoki mwenyewe na kujipendekeza kwangu. Sikutaka kumuonesha kua sina time nae tena kwani...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Sisi wanaume tukitaka kwa dhati kweli huwa hatukosi.Ni mtu tu moyo wako umependa wapi na imempenda nani? Juzi tu dogo janja alikuwa analialia mara oooh yule mazaaa namzimia kichizi na nikipata...
3 Reactions
43 Replies
6K Views
Habari ya uzima wanajamvi. Moja kwa moja naomba nielekee kwenye mada husika. Katika utafiti wangu mdogo nimegundua kila mtu ana bahati ya kupendwa na mtu fulani lakini mara nyingi binadamu huwa...
6 Reactions
21 Replies
4K Views
Buena Sabado amigos Ama kweli kuwa na mpenzi mfanyakazi wa kuajiriwa ni taabu kweli kweli Wale wanaolalamika kunyimwa unyumba na wapenzi/wake zao kisa tu uchovu wa kazini ni kweli jamani Mimi...
12 Reactions
48 Replies
5K Views
Habari za muda huu wadau Katika siku za karibuni kumeibuka wimbi la watu mbalimbali ikiwamo viongozi wa dini kuingia katika mtego wa kuamini kwamba mapenzi ni ngono na ili mumeo au mkeo...
10 Reactions
16 Replies
6K Views
Kama kichwa kinavyojieleza.. Natafuta mwanamke aliyetayari kuolewa in 6 months Sifa: Muislam Hajazaa Between 20-30 yrs Si mnene, mrefu mweupe ni sifa ya ziada Elimu yeyote HIV free Sifa zangu...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Kama umewah kumtoa dem bikra au umewah kutolewa na mwanaume basi lazma uwe umekumbana na mieleka Mimi niling'atwa shingoni na kukwaruzwa mgongoni sitasahau
3 Reactions
28 Replies
9K Views
Habari za jumapili wapendwa nawatakia jumapili njema na dominika njema. Najuwa hali ya maisha ni ngumu na tuna madeni mengi leo nimekuja kwa ushauri hasa kwa wanafamilia tuanze kufurahia zawadi...
4 Reactions
9 Replies
3K Views
Kuna mambo huwa hutuyafikiri lakini hutokea katika maisha yetu, Katika jamii za kiafrika, Wakwe zetu ni watu wa heshima sana na mara nyingi tunapokutananao huwa tunajitahidi heshima hiyo...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Zipo sababu kedekede / nyingi ila hizi zifuatazo ndiyo sababu Kuu hasa baada ya kuzifanyia ' utafiti ' wa kina na wa muda mrefu wa kujua ni ' viashiria ' gani vikubwa vinavyoweza kukuambia kwamba...
6 Reactions
52 Replies
5K Views
1. Sio wanaume wote wanaopenda michepuko 2. Sio wanawake wote wana mwanaume zaidi ya mmoja 3. Kuna wanawake hawana Boyfriend kabisa 4. Kuna wanaume hawana muda kabisa na wanawake. 5. Kuna...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari wana jamvi, Kama kichwa cha habari apo juu kinavyosomeka, Nahitaji mchumba mwenye sifa zifuatazo; 1.Awe Muislam mwenye imani na dini 2.Umri 22-24 3.Elimu kuanzia kidato cha 6 na...
2 Reactions
3 Replies
855 Views
Ninafikiria kufanya ushawishi kwa makanisa yetu waweke kipengele cha probation kwamba ndoa iwe katika matazamio kwa miaka angalau mitano, then ndio mnarudi kanisani kipewa vyeti kamili. Siku hizi...
4 Reactions
29 Replies
5K Views
Wazima wakuu? Hivi hii kweli inatokeaga kwenye jamii?? Mfano, kaka na dada, wote hawatokani na tumbo mmoja lkn wanatoka ukoo mmoja ila mababu zao wa nyuma wanashare eitha mzazi mmoja au wote...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Ni tabia ya wanawake wengi waliopo kwenye ndoa kukomba kila haina ya kipodozi kupaka mwilini pindi aendapo sokoni, na ikibainika kuwa aina ya kipodozi fulani yeye hana na kipo kwa mpangaji wa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za muda huu makamanda, Ni matumaini yangu mpo vyema kama kuna mgonjwa basi Mungu amponye Haya twende na hii Leo mida ya saa tatu tatu hivi baada ya kumaliza kucheki game la watani wa jadi...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari zenu! Ninaandika ujumbe huu kwa masikitiko sana na nimekosa raha kabisa baada ya mpenzi wangu ninaempenda sana kunitamkia kua hua simridhishi kwa sababu uume wangu haumtoshi! kwa lugha ya...
14 Reactions
179 Replies
24K Views
Wakuu tukumbushane kidogo haka kamchezo Kiukweli me nilkua napenda sana kua baba alaf tunaiga vile tunavyoona wazazi wetu wanaish Daaaah hii michezo imepotelea WAP jaman
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…