Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu wanajamvi, Naomba ushauri kutoka kwenu, Mimi ni binti wa early twenties na nina mchumba ambae mpaka kwa wazazi anajulikana na Mungu akipenda mwaka huu tutaoana. Kilichonileta hapa...
3 Reactions
220 Replies
16K Views
Hello!! Nmewasogezea tena karibu hii hapa Hasa kwa wale wanaotaka kuacha sababu ya mateso makubwa na wameshindwa !! UNAPOCHUKUWA MAAMUZI YA KUMUACHA HUYO MAN AU WOMAN AMBAE UMEJIRIDHISHA KUWA...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari zenu waungwana, Amekuja shoga wa dada yangu amefikia kwangu na mumewe watakuwepo 2 weeks lakini anakera pale anapofanya mapenzi jamani kelele mpaka mlokua ukumbini mnasikia, na si kama ni...
12 Reactions
314 Replies
30K Views
WanaJf nina swali dogo tu kwenu, kuna haka ka mtindo ka kuwa na wapenzi sehemu za kazi, wengine wanafikia hata kuoana. Ni halali kufanya hivyo?
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Habarini wana MMU Niende moja kwa moja kwenye point Kumekuwa na wimbi la wanawake kuchambuliwa na kutupiwa mzigo wa lawama na tabia mbaya zisizoisha,tena mbaya zaidi hata kama ni ushauri...
7 Reactions
36 Replies
2K Views
Mke: Sikucommand mme wangu ila nalinda pendo langu upo ndani ya himaya yangu ndiyo maana ninahofu na zao langu. Mme: upo sahihi ila inabidi uchunguze kwanza, ukipata jibu ndiyo upanic sio poo tu...
7 Reactions
153 Replies
19K Views
Habari za Asubuhi waungwana, Tulikua na harusi last two weeks, sasa hua tuna chukua wachoraji Henna wanakuja kutuchora nyumbani mara hii tulipata wachoraji kama wawili na hua tuna chukua kama wa...
11 Reactions
201 Replies
23K Views
Amani na upendo viwe nasi sote. Niende moja kwa moja kwenye Topic. Wanawake wa siku hizi ni wapumbavu sana. Haya ni moja kati ya upumbavu wao; 1. Wanang'ang'ania kuwekwa kwenye profile za...
16 Reactions
243 Replies
20K Views
miaka ya nyuma nlikuwa na mshkaji wangu sana toka sekondari mpaka chuo. kipindi hicho tuko sekondari jamaa alikuwa na demu wake mzuri nami nlikuwa na demu wangu. mimi katika pita pita zangu...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Hellow,kwa kwa mwanamke ushawahi mdanganya mpenz wako kuwa una mimba yake na je baada ya kujua ukweli kuwa ni kiki ikawaje nawe mwanaume ulowahi danganywa baada ya kuujua ukweli ilikuaje?
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Nina rafiki yangu wa kiume tumeshibana sana kiasi kwamba changu chake chake changu. Wik 2 before, aliniita hotel moja ili anitambulishe kwa msichana wake mpya (ingizo jipya ) aseee msichana ni...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Sijui mwanga,haiwezekani sina hata mazoea nae kivile ni siku moja tu nilikutana nae kazini kwake . Nasubiri nimuote Mara ya 4 nikamwambie tabia unayonifanyia sio nzuri.
3 Reactions
46 Replies
5K Views
Hakuna anaeijua safari yako zaid ya unavoijua ww kuna watu wamekujua ukubwan lakin wanajifanya kama wamezaliwa pamoja na ww kuna watu wamekujua ushapata sasa wanakufundsha namna ya kutumia.Watu wa...
9 Reactions
17 Replies
3K Views
Naomba kuwauliza mlioa jamani... Hivi ukimuomba msaada kaka yako wa damu kabisa uwe ni wa pesa au hata kitu chochote ambacho kipo ndani ya uwezo wake lakini yeye badala ya kukupa wewe mdogo wake...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
FAHAMU WATU WENYE MATATIZO YA MAJIVUNO KAMA HAWA HAPA. Kisaikolojia wanajulikana kama Narcissistic Personality Disorder, utafiti unaonyesha kuwa majivuno ni tatizo au ugonjwa kisaikolojia ambao...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
habari zenu? kuna mtu nilikua na mahusiano nae wakati niko huko Arusha,but serious speaking baada ya kuhamia kwenye hili jiji la Dar es salaam nimekutana na changamoto nyingi sana za kimaisha na...
3 Reactions
66 Replies
8K Views
Hello jf,kwa baadhi yetu hivi ni kwanini huwa inakua ngumu sana kumsahau xboy or xgirl ambaye ulimpenda sana yani unakuta unamsahau kwa muda mfupi lakini anakujia tena akilini
3 Reactions
61 Replies
8K Views
Hello JF members! Bila Shaka mu-wazima wa afya! SIO KUOMBA USHAURI BALI NI KU SHARE CHANGAMOTO NA MITIZAMO MBALIMBALI Taaluma yangu ni mwanasaikolojia (Psychologist) currently nashauri watu...
2 Reactions
87 Replies
6K Views
Kuna tangazo nimekutana nalo kweye account ya Fb nikalifatilia nikagunduwa ni la condom, sasa nikaingia zaidi nikasoma wapigie kura nikaamua kwenda kwenye ukurasa wao kuona nani ninaempigia kura...
1 Reactions
36 Replies
5K Views
A man can cheat on his woman and still love her but a woman cannot cheat on her man and still love him. I say this because while men do not have sex with emotions, women can't have sex without...
1 Reactions
2 Replies
906 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…