Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimefahamiana na huyu dada tokea 2015 alipohamia mtaani kwetu. Ameolewa ila hajabahatika kupata mtoto bado, mume wake ni mfanyakazi wa benki fulani hapa mjini na nina fahamiana nae vizuri tu...
4 Reactions
127 Replies
17K Views
Wakuu, Nina mgogoro wa nafsi hapa naona bora niwashilikishe kwa mawazo yenu. Mchumba/kidoshodosho wangu kanikwaza kweli leo.Tulisafiri wote kutoka Mtwara kuja Dar na basi ya Tashrif. Tulipanga...
2 Reactions
58 Replies
6K Views
Katika swala la uzazi wa mpango; walio katika mahusiano wanashauriwa kuwa na idadi ya watoto ambao watamudu kuwalea. Kipimo kipi ni sahihi katika kupima idadi sahihi ya watoto wanaopaswa kuwanao...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Hello JF members, nawasalimu wote!!! Kwanza nitoe pongezi kwa wazee, babu bibi na baba na mama zetu hapo kale walioa na kuolewa kwa mda muafaka regardless kipato chao kama leo tunavyohubili kuwa...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Wanawake wanajikuta wana vigezo vya kufa mtu pindi wanapotafuta mwanaume utaskia nataka mwanaume awe na tumbo flat spendi vitambi, awe hensam, awe na kifua, awe na mwili kidogo umejaajaa, awe...
16 Reactions
175 Replies
15K Views
Hivi inakuaje kidume unamtegemea mwanamke kwa kila kitu? Yani kidume vocha, mavazi, chakula, hela za hapa na pale anaomba kwa mke/mchumba wake na wala haoni aibu kabisa. Ni aibu sana kwa kweli kwa...
4 Reactions
30 Replies
4K Views
Habari za weekend wadau. Kuna wazo limepita kwa halmashauri yangu ya kichwa. Hivi serikali ya Tanzania haioni kuna umuhimu wa kuweka kiwango cha kodi kwenye ndoa na harusi? Coz nafikiri kama...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari zenu wapendwa, Sielewi nimepatwa na nini hata, kuna hali huwa inanijia mfano nikipita barabarani nikaona wale watoto wanaombaomba jamani napata na huruma sana moyo unaniuma hadi nalia...
6 Reactions
45 Replies
4K Views
Wanaume tunadhani kwenda gym kutanua misuli basi mwanamke watadata. Tunajitahidi kuwa na six pack ili wanawake wachanganyikiwe na bodybuilding lakini ukweli ni kwamba mwanamke hivyo vyote...
1 Reactions
32 Replies
14K Views
Na imani kila mtu kuna kitu huwa ndiyo anachokipenda kutoka kwa mke wake au mpenzi wake aidha kwa muonekano au kwa kufanyiwa au vinginevyo. Mimi kiukweli kabisa nampenda mke wangu sana kutokana...
1 Reactions
21 Replies
10K Views
Wakati wakufanya mapenzi ni kipindi pekee ambacho mwili na akili inapaswa kutulia na kumakinikia tendo, lakini hutokea aidha kwa makusudi au bahat mbaya mpenzi wako akakufanyia au kukutamkia jambo...
5 Reactions
488 Replies
68K Views
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Mke wangu aliondoka mwezi uliopita akaenda kwao kusalimia huko Ukerewe Mwanza Tanzania. Lakini sasa karudi...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Kitu cha kwanza na cha pekee mwanamke anachohitaji ni affection (upendo) ni muhimu sana, mwanamke haitaji kujamiani kama anavyohitaji affection (upendo). Affection (upendo) sio kujamiana, wanaume...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Katika pitapita zangu nimekuta watu wengi waki discourage Matumizi ya condom yaani they say its useless na wala haisaidii katika protection ya Maradhi. Wanasema zingine Huja hata zikiwa na viini...
9 Reactions
39 Replies
4K Views
Leo nimepata wasaa wa kukumbuka historia yangu ya mahusiano ya kimapenzi na kina Dada niliowahi kujamiiana nao. Nimefarijika kuona records sio mbaya sana. The list is short kama utekelezaji wa...
8 Reactions
69 Replies
9K Views
Ulikuwa na Mpenzi, ndio mlikuwa pamoja kukidhi haja za kimwili japo hata hamkupendana Kihivo. sasa katika uhusiano wenu labda kwa mfano mwanaume kuna vitu ulimpa huyo mwanamke je mkiachana kuna...
0 Reactions
67 Replies
4K Views
Falsa yangu katika kuchagua mechepuko in hii 1# sipendi mwanamke ambaye kabla ya kukwichi kwichi kwanza eti umnyweshe,umlishe,mwisho wa siku kabao kenyewe kamoja tu. ukipiga hesabu umetumia...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Sijawahi kutegemea kama ipo siku ningefanyiwa suprise kama hii inshort is hurt inauma sana. Asee kuna msichana fulani nilikuwa na mahusiano naye nilimpenda sana ila ndo hivyo kigeto geto si...
5 Reactions
96 Replies
6K Views
Asalaam Aleikum Ndugu Wapenzi. Poleni Na Mahangaiko ya kutafta Mkate wa kila siku. Kwa sasa nimekuwa Mtu wa kujichanganya sana na watu, ilimradi nipate mawaidha flani kwa kusikiliza angalau...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari zenu wadau? Bila shaka siku zinaenda vyema mpaka muda huu?. Nilitaka tujuzane juu ya wafungwa wake kwa waume walio katika magereza huwa wanakidhi vipi matakwa ya kimwili(ngono). Au ndio...
1 Reactions
43 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…