Karudi anajua kila staili ya mapenzi baada kutoka kwao kusalimia


Beira Boy

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Messages
13,961
Likes
13,905
Points
280
Age
21
Beira Boy

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2016
13,961 13,905 280
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.

Mke wangu aliondoka mwezi uliopita akaenda kwao kusalimia huko Ukerewe Mwanza Tanzania. Lakini sasa karudi anajua kila aina ya kugegedena wakati zamani hakua hivyo. Staili aliyokuwa anajua zamani ni kifo cha mende tu lakini kwa sasa anajua staili zaidi ya 50.

Mara ya ubavu ubavu, mara staili ya njiwa, mara staili ya kuzama mtumbwi, mara staili ta ziwani, mara staili ya mbuzi kagoma, mara staili ya miguu juu mikono chini.Yaani kaja na staili kedekede kitu ambacho kinanipa wenge na hofu sana sijui hata nifanyeje masela.

Najiuliza maswali mengi sana; je ni nani kamfundisha mambo haya? Kayajulia wapi? Kwanini kayajua baada ya kwenda kwao? Mbona zamani alikuwa hayajui? Kwanini sasa na si zamani? Nawaza sana.

LONDON BABY
 
in ha

in ha

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Messages
1,397
Likes
2,811
Points
280
in ha

in ha

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2017
1,397 2,811 280
Hapo ndo hua mnakosea ...MTU akiwepo tuu bila kushughulika mnasema ...kaja na maujuzi napo una doubt...dunia IPO kiganjani kajisomea mtandaoni mkuu..
 
Fernando Jr

Fernando Jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2017
Messages
1,525
Likes
1,823
Points
280
Fernando Jr

Fernando Jr

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2017
1,525 1,823 280
Wewe jamaa na GuDume sijui mabalaa yote huwa yanawakuta ninyi tu!?

Anyway, najua ni story tu
 
sergio 5

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Messages
8,786
Likes
9,211
Points
280
sergio 5

sergio 5

JF-Expert Member
Joined May 22, 2017
8,786 9,211 280
Sasa ulitaka iweje?
 
evansGREATDeal

evansGREATDeal

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2016
Messages
3,907
Likes
2,116
Points
280
evansGREATDeal

evansGREATDeal

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2016
3,907 2,116 280
Be plain,
kamuulize utoe shaka..
 
mwampepec

mwampepec

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2013
Messages
472
Likes
204
Points
60
mwampepec

mwampepec

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2013
472 204 60
atakuwa kapata cha moto kwa ngaliba
 
jina halisi

jina halisi

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2016
Messages
1,554
Likes
1,148
Points
280
Age
22
jina halisi

jina halisi

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2016
1,554 1,148 280
Kafundwa
 

Forum statistics

Threads 1,238,832
Members 476,196
Posts 29,333,108