Kuongeza pato la taifa

Kuongeza pato la taifa

Tanganyika1

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
424
Reaction score
90
Habari za weekend wadau.

Kuna wazo limepita kwa halmashauri yangu ya kichwa. Hivi serikali ya Tanzania haioni kuna umuhimu wa kuweka kiwango cha kodi kwenye ndoa na harusi?

Coz nafikiri kama itafanywa hivyo tunaweza kuongeza kipato kwa asilimia fulani. Fikiria jumla ya mahali zote zinazotozwa kwa mwaka, ni kiasi gani serikali inheweza kuingiza pesa kwa kuweka kiasi cha kodi.
Na ikumbukwe kwamba kwenye kila kiasi cha mapato ambayo mtanzania anapata anastahili kulipa kodi. Au kupokea mahali sio mapato?
Ni mawazo tu jamani.
 
Hiyo halmashauri yako ya kichwa haina akili
 
Bila shaka chama tawala cha halmashauri yako ya Kichwa ni ccm.
 
Ila wewe ni mzalendo kwa kweli, unaipenda nchi yako au uko TRA kitenge cha makusanyo.
Ni wazo zuri na litaingiza pesa nyingi kwa nchi yetu na kuongeza GDP.
Ila nawaza tena mbona hayo ni mambo ya kimila??
 
Sijasema wewe huna akili kamanda, akili unayo sana sema hiyo halmashauri ndio nimekuwa na wasiwasi nayo.
Sasa tofauti iko wapi?
Ushaamua kukosa adabu na mimi nimekubali. Basi tufanye yamekwisha!
 
Back
Top Bottom