SI KILA SHIDA YA MWANAMKE HUTATULIWA KWA PESA TU, JIFUNZE KUJALI ANAYOPITIA!
Si kila wakati mwanamke anapokuambia anashida basi anatafuta pesa tu, si kila wakati mwanamke...
UMEMUAGA mkeo unaenda kazini, ukapita kwa mchepuko wako, wakati unajimwaya-mwaya na mchepuko, mume wa mchepuko akagonga mlango, ikabidi ufichwe uvunguni mwa kitanda.
Wakati bado upo uvunguni ka...
Wengi sana wamekumbwa na janga la kukosa wenzi wao kwa nna moja au nyinge.
Wapo wanaopata wenzi wao haraka bila kukumbana na vikwazo vyovyote.
Wewe uliyebahatika kupata mwenzi wako haraka tujuze...
Nimefuatilia sana hii mijadala ya usawa wa jinsia. Nimeona wanawake wakipinga vikali mila na desturi zote zinazo wadunisha kimaisha kama wanadamu na kuwafanya waonekane kama "vyombo" au...
Walaam ndugu,
Kutokana na ushauri wa kiafya ni vema mama mjamzito asifanye tendo la ndoa miezi mitatu hadi miwili kabla ya kujifungua. Pia miezi kama hiyo baada ya kujifungua, jumla ni miezi 6...
Habari zenu wadau wa humu JF,
Hapa nyumbani kwangu mwenzenu mwanaume ananitia aibu, kutokana na usalama wa mtoto wangu mbali nakuwa na msichana wa kazi nimejifunza h/grl wengi si waaminifu hivyo...
Nataka kukuambia Mke, HUSIKA...
Chochote kinachomuhusu Mume wako shiriki kikamilifu. Hata kama huna hela ya kuchangia, changia mawazo. Amekuambia kuna kiwanja tumenunua tujenge na huna hata hela...
Unakuta mtu hamjawasiliana hata miaka mitano lakini ikikaribia harusi yake unashangaa kuona simu zake akiomba mchango. mambo kama hayo yanahitaji ujasiri. Ni vyema kujitahidi kukumbuka watu...
Hili ni moja ya kati ya maswali yanayopendwa kuulizwa na hawa dada zetu pindi unapofanikiwa kupata namba yake bila ya yeye mwenyewe kukupatia.
Swali hili ni fupi sana ila jibu lake linakuaga gumu...
Wana bodi, naomba kufahamishwa Bana banduka ile inayopigiwa Chapuo na watangazaji wa 'Times FM ' Kina ' MISSANA ' na ' Sandy temu ' kwenye kipindi cha Pillow talk nasikia Wadada walioolewa huwa...
Hii kitu punyeto nilikuaga naisikia tu aisee kuja kujaribu utamu wake haufikii dushe hata robo ni zaidi ya raha yan hakunaga abarikiwe alieanzisha kwa utamu huu hakuna haja ya kuwa na man ni...
Nyota pekee ndizo ziliweza kushuhudia uzuri wa tukio lile zuri lakupendeza. Tukio ambalo dunia nzima ilikuwa imelala kutokana na uchovu wa mchana.
Wakati wengine wakiwa fofofo. Michaelray na...
Niaje wadau na kama kawaida nipo poa kukuletea mastory yale yanahappen katika maisha yangu. Well story hii ina ukakasi kidogo ivo kama wewe ni mpenzi wa kilimo pata ushauri wa daktari kwanza kabla...
Mzazi. Fanya ufanyalo nenda uendako lakini fahamu fika na likukae kwenye akili yako kwamba pamoja na mapito yenu ya ndoa, pamoja na changamoto za kiuchumi pamoja na mengine yote, watoto wenu...
Twende kwenye mada bila kuwachosha,
Sehemu ninayofanyia kazi kuna dada mmoja rafiki yangu sana, huwa tunataniana na tunaukaribu ule wa kirafiki, huwa tunashauriana baadhi ya mambo na tunafanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.