Ushauri: Mke wa mtu anataka nifanye nae mapenzi, eti mumewe hawezi kitandani

mtamaushi2

JF-Expert Member
Aug 14, 2015
401
380
Nimefahamiana na huyu dada tokea 2015 alipohamia mtaani kwetu. Ameolewa ila hajabahatika kupata mtoto bado, mume wake ni mfanyakazi wa benki fulani hapa mjini na nina fahamiana nae vizuri tu.

Tatizo ni hili:
Juzi kapata kazi katika shirika fulani akadai nimfundishe kompyuta baadhi ya programu hasa zile za kuandika na mambo ya mahesabu.

Kama kawaida siku ya kwanza nmeenda kwake nkamwelekeza vizuri tu. Siku ya tatu nimefika ile naanza kumwelekeza naona mwenzangu haeleweki mara anishike mkono mara anishike mgongoni yaani purukushani tu.

Jana nimeenda kuendelee na zoezi kama kawaida kufika ndo kwanza naona yupo na kanga anakwenda kuoga nikamwambia fanya fasta nakusubiri hapa kochini.

Mimi nikawa bize kuchek Tv pale, baada ya dakika 15 nilishtuka navamiwa tu kama mwewe anabeba vifaranga, kanilalia kifuani yupo na kufuli tu kanga ameshaitupa huko eti anadai anataka tuvunje ile amri ya sita.

Niliruka kwa nguvu hadi kochi la upande wa pili na kumwambia avae mimi siwezi kufanya hayo mambo coz naheshimiana nae sana pili dhamira yangu itanisuta kutembea na mke wa mtu ingawa sina mpenzi lakini no. Kuepusha shari niliondoka mbio bila kuaga coz dhambi nyingine ni za kukimbia kabisa hutakiwi kufanya majadiliano nazo.

Sasa leo mchana nakuta kanitumia laki na 45 elfu eti nimpe anachokitaka na anasisitiza mume wake anaumwa hivyo hawezi kitandani ana mwezi hajapata haki yake. Anasema kama ni pesa haina shida atakuwa ananipa kila nitakapo.
mimi dhamira inanisuta ni mke wa mtu sipendi kufanya hivyo.

Naombeni ushauri jamani nini cha kufanya na nikizingatia inanibidi nirudi saa 12 kwenda kuendelea na somo letu na alinilipa 60 nimfundishe.

By mtamaushi
 
Njia panda wapiii we unataka kumkula ungekuwa hutaki ungemkatalia huko huko
Dhamira itanisuta, ningekuwa na nia ya kumla ningeshamla tokea jana aliponivamia yupo na kufuli tu, nashukuru nilikimbia. Toa ushaur wako mkuu nini chakufanya ukizingatia bado namfundisha na saa 12 inabid nirud tena.
 
Hivi suala lihusulo uvunjifu wa maadili, linahitaji ushauri?
Jambo lolote la hovyo, vyovyote lipinduliwepinduliwe kimuonekano hubaki kuwa ni ovu tu.
Ushauri unaoutaka wewe ni wa kukusapoti na si kukukataza, ni kutaka kuhalalisha shauku yako ya ubazazi.
Vinginevyo, ungelikataa kama ulivyofanya na kujikalia kimya.
 
Dhamira itanisuta, ningekuwa na nia ya kumla ningeshamla tokea jana aliponivamia yupo na kufuli tu, nashukuru nilikimbia. Toa ushaur wako mkuu nini chakufanya ukizingatia bado namfundisha na saa 12 inabid nirud tena.
Acha kumfundisha mwambie huwezi atafute mtu mwingine wa kumfundisha
 
Back
Top Bottom