Harry singo
JF-Expert Member
- Apr 24, 2016
- 355
- 447
Habari zenu wakuu,
Jana kuna jambo LA ajabu limenitokea, ningependa nishirikiane nanyi nipate mawazo.
Nilipiga viombo kidogo Jana nikapitiliza usingizi mzito ambao iliisha SAA 7 usiku, nikafanyafanya kazi kidogo SAA 9 nikalala tena ndio kuota ninaelekea kwangu wife nimemwacha kwenye maungio ya barabara na njia ya kuelekea kwangu, na nilijihisi usingizi hivyo nikaingia kulala, nikwa naingia kulala wife akanipigia cm kua anaenda kanisani mi nkalala, kuna kushtuka naona Tokyo zimepaki nhe kwangu, nilifanya kuona Tu taa zinazimwa.
Kidogo nikiwa juu gorofani nikasikia kama huku chini kuna mchecheto nikaamka kiusingizi kuangalia hamadi naona kitanda chini ya ngazi (kumbuka in ndoto) halafu godoro likaanza kupanda lenyewe hadi darini, nikastuka nikaruka bila kufuata ngazi ili nione kilichopo chini ya godoro ile kusema nani yupo halo nikaona mikono ikitokea gizani chini ya godoro ikanishika na kuanza kunivuta, mikono isiyo na kiwiliwili ndipo nilipoanza kukemea huku maneno hayatoki nikisema Yesu nashindwa kumalizia su,
Basi ndio kushtuka usingizini nusu mama nilianza kupata sleep paralysis (hali ya kua nusu usingizini na kushindwa kujisogeza na kukosa kupumua, unaezakufa asipokustua mtu) basi nikizani nimeamka nikapapasa mkono nimuamshe mke anistue nitoke katika hiyo hali hamadi naona Hamna MTU kumbe bado nipo usingizini hiyo ni ndoto ya pili, basi kiajabu nikastuka sasa kiukweli nakuanza kutafuta pumzi huku nikitokwa jasho jingi.
Honestly sijawai kukumbwa na ndoto ndani ya ndoto na has a ikihusisha matukio ya ajabu kama kuona godoro likinyanyuka lenyewe na mikono isiyo na kiwiliwili
Hebu wajuzi wa haya mambo na wale waliopitia kitu kama hiki tueleweshane in nini hiki na kina maana gani?