Jinsi ya kumpata mpenzi umtakaye bila kugharamia chohote ...check out

Jul 12, 2017
84
77
najua wengi wenu hamuwez kumpata mpez mpaka mgaramie
wengi wenu kwa Mara ya kwanza mkikutana na mdada mnajionyesha ni jinsi ngani mnauwezo wa kifedha.
list hii chini ni vitu ambavyo nakufunda uzifanyie kaz.
1.akil ya mazungumzo/inahusisha sana saut ya kimahaba.ukiongea sauti kama ya chiriku shauri yako.tulia panga point changanya sauti utaniambia.
2.uwezo wa kumfanya Dada acheke Mara kwa Mara. sio unaongea na mauz kama hakim anayesoma hukumu.
3.uwe mbunifu hasa kwa mambo yetu Yale.kila Siku akutane na mambo mapya .
4.ukiweka ulimi pale hakikisha antenna yake imesimama wima asipoomba poo!!,usibanduke mpaka yeye agome kabisa.
kikieleweka hakikisha unajituma vizur kunako6×6,kipimo kizuri kwako pale anapopata usingiz wa kutosha baada ya tendo .hapo big up hapo umefunzii kiwango.
5.jifanye hauna wivu kabisa akikuzingua mzingue Mara mbili.hawa viumbe kwa kutest ndo wenyewe utaskia me&u is over, wewe pinga kimya tu.Siku ya kwanza itapita kesho yake huyo,mwambie mim nilikubaliana na maamuz yako.
6.jifanye simple kabisa afaham wewe unamaisha yako ni ya kuungaunga lakin use msafi wa mavaz pamoja na unapolala.
Tatizo lenu vijana hamjiamin na mwili wako kiasi kwamba hawa madada mnawahonga sana mpaka wanabweteka wanashindwa hata kutafuta ridhiki kwa mikono yao waliyopewa na mungu.
 
Mbele ya ngawira, wala huna muda wa kupoteza kumchekesha, akacheke na mr bean, we kata pesa tu, tena na hivi vyuma vimekaza ukitoa buku kumi ni kama laki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom