Mke wa mwanaume wa Dar es Salaam ananing'ang'ania mwanaume wa mkoani

Robidinyo

Robidinyo

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Messages
450
Likes
544
Points
180
Age
48
Robidinyo

Robidinyo

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2016
450 544 180
Naombeni ushauri wenu wadau nifanyeje hapa nilipo nipo mafichoni

Inshu iko ivi,. Hapa jirani yetu kuna wapangaji wamehamia miezi miwili iliyopita ni mwanaume na mwanamke bado vijana hata mtoto hawajapata,

kwa maelezo ya mwanamke mmewe kahamishwa kikazi toka dar kuja huku mkoani,katika kukamilisha taratibu ilibidi mwanaume arudi dar kwa takribani wiki mbili..

Ilikua jioni moja wakati mimi natoka kwenye mishe zangu,nikaitwa na huyo mdada baada ya salam akanambia anataka nimsaidie kuweka taa ndani kwake ye kashindwa, kidume cha mkoani nikazam mara mlango paah! Ukafungwa dada akabadilika kaka nina shida moja tu nataka unigegede ni na hamu na nimesikia wanaume wa huku mnajua kupiga mashine atari

Mwanaume nikagoma nikataka kuusogelea mlango dada akasema nakupigia kele unataka kunibaka nkamwambia piga, kwei bhana akatishia na yowe moja kubwa nkamwambia bas ntafanya unachotaka,Nilichomfanyia yule mdada nilimpiga mashine mpaka akazima ikabidi nimwagie maji

Alipozinduka nkamuuliza vipi unaumwa kifafa akasema hapana ni mikuno niliyompa hajawai kupewa toka avunje ungo uko dar nkamuuliza mmeo vip akasema kimoja tu dk 5 hoi, akaniomba nisimuache niwe nampa tiba na atakua ananilipa...

Kilichofanya hadi mda huu niwe mafichoni hadi mda huu, nimegoma kuendelea nae mi wake za watu sipendi kua na mahusiano nao mana mke wa mtu ni sumu,. Baada ya kumkatalia mdada kaenda polisi kachukua RB kua nilimuibia vya thamani ya milioni moja hivyo nikubali kuendelea nae nikikubalia anafuta kesi,.

Ivi kweli kwa usawa huu ni kumlimpa mtu milioni na kashifa ya wizi juu kisa mwanaume wa Dar amkuni mke wake vizuri? Ivi kwanini nyie wanaume wa dar mkija uku mikoani mnatuletea matatizo, uko dar si ndo yule jamaa aliimba mwanaume mashine, mbona izo mashine hamzifanyii kazi ipasavyo au ni butu?

Wadau naombeni ushauri nifanyeje nitoke kwenye huu msala...
 
Slim5

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Messages
20,495
Likes
21,023
Points
280
Slim5

Slim5

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2014
20,495 21,023 280
Unalo unalolitafuta. Na nakuambia utalipata!
 
Steven Robert Masatu

Steven Robert Masatu

Verified Member
Joined
Aug 7, 2009
Messages
2,463
Likes
852
Points
280
Steven Robert Masatu

Steven Robert Masatu

Verified Member
Joined Aug 7, 2009
2,463 852 280
Akili zingine za kushikiwa, haya ni masaburi si bure ndo yanawaza.
 
mtzedi

mtzedi

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2011
Messages
2,426
Likes
1,289
Points
280
mtzedi

mtzedi

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2011
2,426 1,289 280
Kama umemaliza mitihani kasome tuisheni au kalime.
 
Robidinyo

Robidinyo

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Messages
450
Likes
544
Points
180
Age
48
Robidinyo

Robidinyo

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2016
450 544 180
Unalo unalolitafuta. Na nakuambia utalipata!
Ndo nalikwepa mkuu ebu nipe ushauri nifanyeje hapo kutoka kwenye iyo kesi..
 
radika

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Messages
15,982
Likes
22,730
Points
280
Age
36
radika

radika

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2014
15,982 22,730 280
Naombeni ushauri wenu wadau nifanyeje hapa nilipo nipo mafichoni

Inshu iko ivi,. Hapa jirani yetu kuna wapangaji wamehamia miezi miwili iliyopita ni mwanaume na mwanamke bado vijana hata mtoto hawajapata,

kwa maelezo ya mwanamke mmewe kahamishwa kikazi toka dar kuja huku mkoani,katika kukamilisha taratibu ilibidi mwanaume arudi dar kwa takribani wiki mbili..

Ilikua jioni moja wakati mimi natoka kwenye mishe zangu,nikaitwa na huyo mdada baada ya salam akanambia anataka nimsaidie kuweka taa ndani kwake ye kashindwa, kidume cha mkoani nikazam mara mlango paah! Ukafungwa dada akabadilika kaka nina shida moja tu nataka unigegede ni na hamu na nimesikia wanaume wa huku mnajua kupiga mashine atari

Mwanaume nikagoma nikataka kuusogelea mlango dada akasema nakupigia kele unataka kunibaka nkamwambia piga, kwei bhana akatishia na yowe moja kubwa nkamwambia bas ntafanya unachotaka,Nilichomfanyia yule mdada nilimpiga mashine mpaka akazima ikabidi nimwagie maji

Alipozinduka nkamuuliza vipi unaumwa kifafa akasema hapana ni mikuno niliyompa hajawai kupewa toka avunje ungo uko dar nkamuuliza mmeo vip akasema kimoja tu dk 5 hoi, akaniomba nisimuache niwe nampa tiba na atakua ananilipa...

Kilichofanya hadi mda huu niwe mafichoni hadi mda huu, nimegoma kuendelea nae mi wake za watu sipendi kua na mahusiano nao mana mke wa mtu ni sumu,. Baada ya kumkatalia mdada kaenda polisi kachukua RB kua nilimuibia vya thamani ya milioni moja hivyo nikubali kuendelea nae nikikubalia anafuta kesi,.

Ivi kweli kwa usawa huu ni kumlimpa mtu milioni na kashifa ya wizi juu kisa mwanaume wa Dar amkuni mke wake vizuri? Ivi kwanini nyie wanaume wa dar mkija uku mikoani mnatuletea matatizo, uko dar si ndo yule jamaa aliimba mwanaume mashine, mbona izo mashine hamzifanyii kazi ipasavyo au ni butu?

Wadau naombeni ushauri nifanyeje nitoke kwenye huu msala...

mkuu nahisi mtakuwa level moja kiakili mana hata kiswahili ni tatizo mnawaza ngono tu.
 
GuDume

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Messages
5,770
Likes
9,844
Points
280
GuDume

GuDume

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2015
5,770 9,844 280
mwanamke wa kumng'ang'ania huyu jamaa atakuwa ni kilaza sana na ana mtindio wa ubongo. jamaa hata kuandika hajui halafu lilivyo jinga linasema eti limejificha. alitaka watu waseme kitu gani? huwezi kuta mwanamke mwenye akili timamu akataka hata kukiss mdomo wa huyu jamaa ambaye hajui hata kuandika. anaonekana ni gulaza,kilaza.
Eti na wewe unaitwa mwanaume hata siri kutunza hujui.
 
Nleterewa Nganengo

Nleterewa Nganengo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Messages
4,417
Likes
9,398
Points
280
Age
47
Nleterewa Nganengo

Nleterewa Nganengo

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2016
4,417 9,398 280
Aisee, nakushauri toka kwanza huko mafichoni ukapime Ukimwi mkuu.
 
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
29,501
Likes
82,972
Points
280
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
29,501 82,972 280
mwanamke wa kumng'ang'ania huyu jamaa atakuwa ni kilaza sana na ana mtindio wa ubongo. jamaa hata kuandika hajui halafu lilivyo jinga linasema eti limejificha. alitaka watu waseme kitu gani? huwezi kuta mwanamke mwenye akili timamu akataka hata kukiss mdomo wa huyu jamaa ambaye hajui hata kuandika. anaonekana ni gulaza,kilaza.
Hivi kwanza nyinyi mnaokaribishwa utamu kirahisi hivyo mlishawaza kuwa na faili Angaza na kula njugu kila siku kwa maisha yako yote yaliyobaki?
 
Hunyu

Hunyu

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Messages
4,262
Likes
2,537
Points
280
Hunyu

Hunyu

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2014
4,262 2,537 280
Vyai vya sa nane uliona wapi
 
T

to yeye

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Messages
2,634
Likes
2,123
Points
280
Age
30
T

to yeye

JF-Expert Member
Joined May 30, 2016
2,634 2,123 280
kwan vp sasa?
 
Mjamaa1

Mjamaa1

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Messages
4,553
Likes
1,713
Points
280
Mjamaa1

Mjamaa1

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2013
4,553 1,713 280
Hawa wanaume wa Dar wanaohamia makao wanatuletea shida kwa kweli
 
Robidinyo

Robidinyo

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Messages
450
Likes
544
Points
180
Age
48
Robidinyo

Robidinyo

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2016
450 544 180
mwanamke wa kumng'ang'ania huyu jamaa atakuwa ni kilaza sana na ana mtindio wa ubongo. jamaa hata kuandika hajui halafu lilivyo jinga linasema eti limejificha. alitaka watu waseme kitu gani? huwezi kuta mwanamke mwenye akili timamu akataka hata kukiss mdomo wa huyu jamaa ambaye hajui hata kuandika. anaonekana ni gulaza,kilaza.
Mbona povu mkuu au ni mkeo? Ukileta ujuaji ntarudi kumkuna hadi akukimbie
 
N

nsereko m

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2015
Messages
3,020
Likes
2,140
Points
280
N

nsereko m

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2015
3,020 2,140 280
inaelekea wewe domo zege halafu ukigusishwa rabia minora/majora tu wazungu hao....
 
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
11,189
Likes
10,413
Points
280
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
11,189 10,413 280
Akili za wanaume wa dar hizi
 
ArIeN

ArIeN

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2017
Messages
5,962
Likes
3,938
Points
280
ArIeN

ArIeN

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2017
5,962 3,938 280
Naona mpambano bado unaendelea hahaha
 
Forum statistics

Threads 1,236,818
Members 475,301
Posts 29,268,886