Kama hii ni kweli basi Wanaume wengi tunachekwa sana Vitandani

Prognosticator

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,128
2,000
Inasemekana kwamba ukiwa unafanya mapenzi / unabaiolojiana na Mwanamke yoyote yule halafu pale unapomaliza mshindo wako / unapiga bao lako la Kichuya au Ajib halafu ukaona Yule Mwanamke hakukumbatii kwa kukubana kwa nguvu kabisa hadi hata unashindwa kupumua vizuri na kutikisa kabisa mwili wako na Fito zako ( miguu ) basi jua ya kwamba hapo 100% hujamfikisha / hujamtosheleza Kimahaba na ulichokifanya Kisayansi wanasema work done zero.Ila ikitokea kinyume chake basi jua kwamba Mwanamume umeshughulika na Mwanamke kafika katika Kilele chake cha Utamu na Raha ya Mkuyenge wako.

Je kuna Wanabaiolojia wenzangu hasa Wanaume wenzangu je hapa kuna ukweli wowtote labda? Hii habari / taarifa nimeipokea kwa mshtuko mkubwa mno hadi nimeshakosa raha kwani kusema kweli Mimi binafsi nakumbuka kabisa mwaka wa mwisho Kukumbatiwa hivyo kama ilivyobainishwa hapo juu nadhani ilikuwa ni mwaka 2000.

Sasa nawaza tu mwenyewe ( Am just thinking aloud ) kwamba kumbe inawezekana kabisa GENTAMYCINE tokea mwaka 2001 hadi sasa 2017 Wanawake / Mademu wote niwaowabandua / ninaobaiolojiana nao nafanya tu hiyo work done zero? Kwani sijawahi Kukumbatiwa hivyo kama hao Wataalam wa Mapenzi / Mahaba wanavyosema hapo juu.

Na sijui kwanini na Mimi niliamua kumuhoji hili swali huyu Mtaalam kwani hayo majibu yake sasa yamekuwa ni maumivu na mateso makubwa sana moyoni mwangu ila moyo wangu utatulia pale labda na Wataalam wengine wa JamiiForums watakapoliweka hili sawa. Yaani nawaza kwahiyo kumbe kujipinda Kwangu kote tokea 2001 hadi sasa 2017 nafanya Kazi bure tu / work done zero mbele ya Mbunye?

Nawasilisha.
 
jamanoma

Member
Jul 9, 2017
21
75

hivi kama mmefanya style ya mbuzi kagoma kwenda baada ya kufika mshindo anakukumbatiaje?mana kumbatizi huwaga linatokea maranyingi kama mmemaliza style ya kifo cha mende.
 
majoto

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
2,196
2,000
Siyo kweli banaaaaaa.. Ukute ulijituma na mdada alimaliza kabla yako sasa wewe unapomalizia anakuwa yuko hoiiii hawezi hata kukupa hilo kumbatio la nguvu. Pia inategemea mko ktk pozi lipi kama mbuzi kagoma atakukumbatiaje?
 
Mtetezi.com

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
3,018
2,000
Kwa style za miaka ya nyuma 2000s ilikuwa commonly ni kifo cha mende!
2010s ni style kibao tofauti tofauti mara aje juu mara alikalie dushele mara kichuma mchicha mara kiupande upande sasa atanikumbatia kwa nguvu saa ngapi?
Mimi ni mwanaume wa dar niliyekulia mikoani na nawaridhisha sana wenyewe wanasema "ooh my God ×1000" na wakikojoa sisi wazoefu wa papuchi tunajua.
Do kifo cha mende na kukumbatiana hizo ni zilipendwa.
 
Apolo The Great

JF-Expert Member
Jan 19, 2014
249
250
wanaume wa dar wanalamba bahari ili angalau wanawake wafike lakini wapiiii,by the way soko la vega lipo dar sana lakini ndio sehem wanawake hawajawahi kufika juuuuu;
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom