Faida za kushiriki tendo la ndoa

Faida za kushiriki tendo la ndoa

Muzine

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2017
Posts
32,364
Reaction score
60,495
Habar za weekend wana jf
Tushirikishane hapa faida za kushiriki tendo la ndoa kubwa ikiwa ni kuwezesha kupata watoto

1.Huondoa msongo wa mawazo
2.Huongeza presha ya damu
3.Huimarisha mahusiano
4.Huleta usingizi wa kutosha
5.Ni sehemu ya mazoezi
6.Huongeza nguvu ya kiume na uwezo wa kufanya tendo
7.Husaidia watu kuwa na furahaa baada ya tendo

Ndio maana watu hawaachi kwenda pm kusaka mapenzi
 
Mm nikisex huwa nakuw na confidence sanaa ya kuongea mbele za watu .
Ushaur.ukiwa na mhadhara sehemu kutoa hotuba au unaenda kwenye interview au enda kweny mtihan ukishiriki tendo la ndoa utakuwa na confidence ya unachofanya
Ushuhuda nakumbuka nilikuwa nafanya paper ya geogy mwaka 2005 mda ukawa unakalibia kwisha nilipata pressure mpaka nika ejaculate baada ya hapo akil ilifunguka na peni ilikuwa inatembea kwa speed kalii nilifanikiwa kufaul hilo paper la nacte na pia ilijirudia nikiwa kidato cha sita pia hilo somo nilifaul vzr zaid kuliko mengine
 
Nimekupa like
 
Njoo basi PM, tupate hizo faida.
 
Aisee umenikumbusha.. Kipindi nipo O'level kila mtihani wa hesabu nikifanya ilikua lazima bao litoke..
 
Back
Top Bottom