Mabinti wanaosema hawafikirii kuolewa

Mabinti wanaosema hawafikirii kuolewa

Jiggy El Jefe

Senior Member
Joined
Aug 10, 2017
Posts
143
Reaction score
170
Hivi wale mabinti wanaosema hawafikirii kuolewa kwa muda huo wakidai bado wanakula ujana.

Ni kweli wanakuwa hawajaamua au hawajapata wa kuwaoa?
2f8b6dac6f4a579107b6257d2a009b10.jpg
 
Hivi wale mabinti wanaosema hawafikirii kuolewa kwa muda huo wakidai bado wanakula ujana.

Ni kweli wanakuwa hawajaamua au hawajapata wa kuwaoa?
2f8b6dac6f4a579107b6257d2a009b10.jpg
ukiona hvy ujue kashatendwa,, anajishauwa tu na kujifariji,,,,waongo hao , we mwambie tu nakupenda nahitaji kukuowa,, utasikia fuata taratibu zote nyumbani[emoji23] [emoji23] [emoji108] ,, wanajishauwaa tu
 
hahhaa,,kuna x wangu leo kanichek katika kuchat akaniambia et "siku hizi waoaji wamepotea" nikamjibu " kama hujakaa kiuolewaj huwez mpata muoaji"
 
si kweli kuwa hawajapata wa kuwaoa,

labda past experience inaweza ikawa sababu,

wengi ukiangalia,wamechoose career ama education ambitions anazoona akiolewa na kuanza familia hatazikamilisha hizi ndoto,
 
Wanapenda kujinembua wakijua wakiolewa hawatakuwa huru kabisa
Hivyo wanatumia muda huo kwa kufanya kila alionalo kuwa jema

Hofu yao ni kuwa wakiolewa hawataweza kujiachia wanavopenda


Inawezekana wanao wakuwaoa au hawana
 
Muda!

Kuna muda ukifika kama ujaoa au kuolewa wewe mwenyewe utaanza kujisikia vibaya

Kuna muda ukifika kama bado umepanga utajisikia vibaya kwanini huna nyumba

Asikudanganye mtu age mate inamata sana, pindi utakapo ona lika lako wote wamefanya yaliyo muhimu alafu wewe bado utajisikia vibaya tu....

Time the greatest miracle worker...
 
Back
Top Bottom