Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Just imagine, ni mdada anayekaa kwao na anafanya kazi ya ualimu ila sasa ni mdada anayependa sana hela anaweza akaja kukutembelea, ukamtoa na elfu thelasini lakini bado tena atataka umpe buku ya...
14 Reactions
96 Replies
8K Views
Najisikia kutoka leo nikapumzika Bagamoyo kwaajili ya kujifurahisha na kurelux tu. Lkn sitaki kuwa peke yangu nahitaji watu wanne kwaajili ya kampani, niwatakao wawe wajisia zote... Nimesema...
4 Reactions
47 Replies
5K Views
Ni wazi headlines za Billionaire kanjanja za zimemfikia kila mdau ambaye yupo makini na currently affairs zinazotokea nchini. Wanawake wana akili sana lakini wengi wetu huwa tunawabeza, na hata...
11 Reactions
45 Replies
10K Views
Habari za siku wanajamvi, Mwenzenu nimekuwa addicted na porno za wanyama wa msituni kama tembo chui farasi nk yani siku hizi za binadamu sihisi kitu kabisa. Yani sipati stimu nikiona za binadamu...
1 Reactions
26 Replies
6K Views
Umekutana na mkaka wa 35+ anakwambia yuko single lakini ana mtoto wa miaka 7 na ana shared parental responsibilities. Dinner ya kwanza alikupeleka restaurant, ya pili alikupeleka movie kwanza...
2 Reactions
50 Replies
4K Views
Kiukweli ndoa nyingi zilizodumu ukiangalia utakutana na mama wa familia ana sura au umbo baya mpaka unashangaa. Najiuliza si nyie wanaume mnapenda wadada wazuri na wenye chura kwanini mnapenda...
3 Reactions
139 Replies
19K Views
Unapata wageni umemtumatoto akalete soda kumi kwa Mangi. Mgeni anaomba kutumia choo unamwambia subiri nikaangalie hali kwanza. Huu ni ustaarabu?
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Hello MMU Wadau kwa uzoefu wangu nimefika wakati nimehitimisha utafiti wangu nilioufanya kwa muda sasa. Nimejaribu kuzipima hypothesis zote mbili za mahusiano bora, yaliyo salama na matamu kati...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Naomba tudiscuss hii issue wakuu, Is it logical kwa dume zima kumsumbua mtoto wa kike kumuomba hela eti amkopeshe laki tano tu kwa ajili ya kulipia kodi ya nyumba?
0 Reactions
58 Replies
5K Views
Nafasi za kazi zimetangazwa UN. Watu wamepeleka maimbi ukiwa mmoja wapo. Kwa hamaki baada yavwuki mbili unapata email uwende kwenye usaili. Ni mchujo mkali lakini umefanikiwa kuibuka kidedea...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Inatokea kuna wanaume wawili; 1. Unampenda sana, lakini yeye anaonekana hana upendo wa dhati kwako, unafanya kila uwezalo ili mradi kumfanya akupende lakini hajali, anakuchukulia kawaida tu. 2...
4 Reactions
66 Replies
8K Views
Hivi karibuni kumezuka wimbi la wavulana wadogo kuoa au kuchukua wanawake wenye umri mkubwa jambo ambalo nadhani sio mbaya kwani nao wanawake hao wamekua katika sintofahamu mpaka sasa bila ndoa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika ulimwengu huu wa sasa wa kidigitali kumezuka tabia na imeanza kuzoeleka na kuhamasishwa kwa namna moja ama nyingine. Imekuwa ni jambo la kawaida kwa wapenzi kwenye mahusiano kujihusisha na...
2 Reactions
42 Replies
11K Views
leo nimeyakumbuka maisha flani niliyowahi kuyapitia na mtu flani niliyejiaminisha kuwa ndie alikua mpenzi na rafiki wa maisha yangu,nikaona sio mbaya kama ntashare haka kawimbo na nyie wana MMU...
0 Reactions
2 Replies
777 Views
Mwili wa Binadamu unaweza kuhimili maumivu ya 45 del (unit) za maumivu. Lakini wakati wa kuzaa mwanamke hufikia hadi 57 del za maumivu kiwango hicho cha Maumivu ni sawa kabisa na mivunjiko 20 ya...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
BY CAPITAL LIFESTYLE Men act like they’re experts on women and sex. But let’s just admit it guys . . . after all these years, we’re still pretty much in the dark. If you want to test your...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
1:Hakikisha mtu unayoenda kuolewa naye au kuoa ni mtu sahihi kwako. 2:Afya ni kitu muhimu sana mkapime na ujiridhishe pasi na shaka kama ni buheri wa afya usije kujutia baadae. 3:Ndoa ni kuhusu...
5 Reactions
14 Replies
4K Views
Every time I remember the incident, I cannot help but laugh at my own stupidity. Because it was simply stupidity and nothing else, perhaps maybe excessive male greed and lack of common sense! Oh...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Nadhani wazima humu, Kama kuna kijana anataka kuoa na hajui jinsi ya kumtambua mke mwema, ni simple tu. 1. Muulize amajiunga mitandao mingapi ya kijamii, kama ni zaidi ya mitatu kula mzigo sepa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari ndugu, Mimi ni mtanzania mwenzenu najitokeza kutafuta marafiki tutaosaidizana kujikwamua na umasikini kwa kushauriana, kutembeleana. Sifa za marafiki niwatakao; Awe anajua kusoma na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…