Hello MMU
Wadau kwa uzoefu wangu nimefika wakati nimehitimisha utafiti wangu nilioufanya kwa muda sasa.
Nimejaribu kuzipima hypothesis zote mbili za mahusiano bora, yaliyo salama na matamu kati ya aina hizi mbili
1: kuwa na mpenzi mnayeshiriki tendo la ndoa kabla hamjaoana.
2: kuwa na mpenzi, ambaye mna nyegeshana kwa namna yoyote ile, iwe kupiga kiss, kutuniamiana Sms zenye jumbe za mapenzi au kutoka outing ila katu NO penetrative SEX.
Methodology niliyoapply ni case control study. Ambapo nimedate kwa nyakati tofauti na warembo. Mmoja tunafanya sex, mwingine Its just flirting.
Na hili ndilo hitimisho langu
Mapenzi bora, salama na matamu ni kuwa na mpenzi ambaye mtanyegeshana kwa hali zote ila katu msifanye mgegedo.
Karibuni kwa maoni....