Hivi karibuni kumezuka wimbi la wavulana wadogo kuoa au kuchukua wanawake wenye umri mkubwa jambo ambalo nadhani sio mbaya kwani nao wanawake hao wamekua katika sintofahamu mpaka sasa bila ndoa wala watoto kwa sababu za kula ujana.
Ujana unapokwisha heshima inapungua lakini hupungua zaidi pale unapojikuta kwa unaingia kwa penzi la mtoto mdogo ambaye angekua mwanafamilia basi ulikua umemuogesha maji au hata kumbeba.
Sura hii kwa sasa imeonekana kwa wasanii waliokwisha kula ujana sana na kuishia kwa wadogo zao.
Hii ni dalili njema kwa wengine kuacha kushughulika na dunia badala yake muda haumsubiri mtu.