moniccca
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 2,383
- 3,287
Najisikia kutoka leo nikapumzika Bagamoyo kwaajili ya kujifurahisha na kurelux tu.
Lkn sitaki kuwa peke yangu nahitaji watu wanne kwaajili ya kampani, niwatakao wawe wajisia zote...
Nimesema wanne kwa sababu gari yangu inauwezo wa kubeba watu watano tu
Ghalama zote juu yangu kasoro vinywaji.
Tutakuwa huko mpaka kesho jioni.
Ilikubalance jinsia ntahitaji wadada wawili na wa kaka wawili.
Mwenye nia aje pm.