kombaME
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 2,115
- 2,822
Nadhani wazima humu,
Kama kuna kijana anataka kuoa na hajui jinsi ya kumtambua mke mwema, ni simple tu.
1. Muulize amajiunga mitandao mingapi ya kijamii, kama ni zaidi ya mitatu kula mzigo sepa, hafai kuwa mke.
2. Kama amejiunga mitandao mitatu kwenda chini na kila siku anapost picha na ujumbe wa vijembe au kujisifia, kijana wangu mpe Abdala Kichwa Waza (AKW) haki yake then kaa nae mbali
3. Simu yake ina password, usiendelee kumalizia mahari, jua upo na bomu na muda wowote litakulipukia.
Katika hayo matatu yamebeba tabia na uhalisia mzima wa mwanamke bora na asie bora.
Maandalizi mema ya weekend.