Baby mothers mkubali matokeo

Baby mothers mkubali matokeo

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
Umekutana na mkaka wa 35+ anakwambia yuko single lakini ana mtoto wa miaka 7 na ana shared parental responsibilities. Dinner ya kwanza alikupeleka restaurant, ya pili alikupeleka movie kwanza ndiyo mkaenda dinner na aliku drop home safely.

Mtoko uliofuatia ameamua kukuonyesha ufundi wake wa kupika. Amekukaribisha kwake na kukupa tour ya nyumba. Kweli chumba cha mtoto kimejaa ma-toy kibao unakumbuka kuwa kuna mtoto.

Relationship inakwenda vizuri, amekuhakikishia kuwa ni mwaka wa pili huu tangu baby mother aanze na hawakuwa kwenye ndoa lakini sasa hivi ameamua kuoa. Mtoto mmeshaonana na mmekuwa play partners. Mtoto amesha mhadithia mama yake auntie anavyotengeneza chapati tamu J'mosi.

Siku hiyo mtoto analetwa baby mother amekuona kwa mara ya kwanza analianzisha.

Jamani hukuwepo kwenye picha mwaka wa pili huu, give me a break!!!
 
Umekutana na mkaka wa 35+ anakwambia yuko single lakini ana mtoto wa miaka 7 na ana shared parental responsibilities. Dinner ya kwanza alikupeleka restaurant, ya pili alikupeleka movie kwanza ndiyo mkaenda dinner na aliku drop home safely.

Mtoko uliofuatia ameamua kukuonyesha ufundi wake wa kupika. Amekukaribisha kwake na kukupa tour ya nyumba. Kweli chumba cha mtoto kimejaa ma-toy kibao unakumbuka kuwa kuna mtoto.

Relationship inakwenda vizuri, amekuhakikishia kuwa ni mwaka wa pili huu tangu baby mother aanze na hawakuwa kwenye ndoa lakini sasa hivi ameamua kuoa. Mtoto mmeshaonana na mmekuwa play partners. Amesha mhadidhia mama yake auntie anavyotengeneza chapati tamu J'mosi.

Siku hiyo mtoto analetwa baby mother amekuona kwa mara ya kwanza analianzisha. Jamani hukuwepo kwenye picha mwaka wa pili huu give me a break!!!
Sijakuelewa sijui umeandikaje
 
Kazi kweli kweli...




Another day in the mikasa ya mashosti wa Sky..
 
Huwa napata tabu sana pale mtu anapoandika Kiswahili...lakini haeleweki.
 
Back
Top Bottom