Amekutwa na ky jelly! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Amekutwa na ky jelly!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Twilumba, Feb 25, 2011.

 1. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  WanaJF katika hali ya kustaajabisha kaka yangu anayetegemea kuona mwezi August 2011 ameshindwa kuvumilia na amefikia uamuzi wa kuahirisha harusi kwa kumkuta mtarajiwa wake akiwa na KY JELLY iliyotumika kiasi kidogo iliyokuwa kwenye kipima joto cha shemeji yangu mtarajiwa! Kwa mujibu wa bro wangu anasikia kuwa KY Jelly inatumika kwenye yale mambo yetu ya mtandao wa Robo shilingi aka tIGO na hivyo anaamini shemeji yangu ndo tabia yake! Je ni kweli KY Jelly inatumika kwenye mchezo huo. Lakini hata kama ni hvyo je kuna uhalali wa kumtuhumu moja kwa moja, naomba tumshauri huyu kaka yangu jamani tuinusuru hii ndoa tarajiwa!
   
 2. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280


  Badala ya kumtuhumu moja kwa moja ni bora amnuse kwanza kama anatoa harufu ya kinyesi, au akosee kwa makusudi wakati wa mechi aone kama itakwama au itapitiliza.
   
 3. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Aaahh hizi ndoa za siku hizi nazo kisa fulani kaoa sijui kaolewa zinaboa!!
  Mwambie bro ajaribu kutumia mtandao nae akiona unapatiakana jibu analo akiona not reachable bas ndoa iwepo
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Feb 25, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  KY Jelly....mmmh.....
  Narudi
   
 5. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #5
  Feb 25, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  no, mm nayafahamu haya mafuta, yametngenezwa special kwa wanawake wacotoa ute wkt wa tendo la ndoa sa wabongo ndo wakachakachua ma2miz yake
   
 6. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #6
  Feb 25, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  KY Jelly ni lubricant maalum inayo2mika kulainisha uke kama kunafanyika uchunguz unaohitaji kuingiza mkono au chombo chochote. Inawezekana huyo dada alikuwa na tatizo.
   
 7. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #7
  Feb 25, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Usihitimishe jambo kabla ya kulifanyia tafakuri ya kina. Hiyo jelly inatumiwa na wanawake kwa malengo mbalimbali. Nisingependa nitaje hapa lakini inawezekana mtarajiwa wa kaka yako alikuwa na shida nyingine zaidi ya hiyo ya kutigokiwa.
   
 8. Mkwaruzo

  Mkwaruzo JF-Expert Member

  #8
  Feb 25, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kabla ya kujiunga hapa, nilipitia kwa dada dinah. Hivyo ninajuwa kuwa tatizo la kutokunyevuka linawapata wengi tu, may be na yy anayo. Lkn ki2 muhimu cha kujiuliza, je hiyo ky jelly iliyotumika, imetumika pa1 na nani? Kwasababu lengu letu ni kujenga, sitopenda kuuliza maswali zaidi ila uhalali wa kuvuka 50% kwa anachodhaniwa haupo.
   
 9. The Mockingjay

  The Mockingjay JF-Expert Member

  #9
  Feb 25, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kama brother wako hajui kumtayarisha mwanamke vizuri, inabidi mwanmke atumie KY kupata lubrication. Ukute hiyo KY ilikuwa kwa ajili ya kaka yako. Unless kaka yako alikuwa amchakachui bibi harusi mtarajiwa.
   
 10. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #10
  Feb 25, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  Ni bora kama ana tatizo si angesema tu! Tatizo gani la siri kiasi cha kushindwa kumwambia mwenzi wake!
   
 11. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #11
  Feb 25, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  Ameshamchakachua kwa idadi zisizohesabika!
   
 12. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #12
  Feb 25, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Yawezekana ilikuwa kwa ajili ya matibabu
   
 13. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #13
  Feb 25, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  Angemweleza isingekuwa tatizo!!
   
 14. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #14
  Feb 25, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mkuu uamuzi alochukua bro wako niwa busara kabisa... sababu huo aloukuta ni uthibitisho kuwa shemeji yako ni mtumiaji mzuri wa mtandao na jinsi bongo ilivochafuka kwa matumizi ya huo mtandao yaani hakuna ubishi na hilo....:decision:
   
 15. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #15
  Feb 25, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  mke na mtandao mh?
   
 16. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #16
  Feb 25, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  Heeeh nimetaharuki!!
   
 17. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #17
  Feb 25, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Matibabu gani kwani yeye Mkunga wa jadi?
   
 18. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #18
  Feb 25, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  Matibabu yapi asiyoyajua mwenzi wake?
   
 19. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #19
  Feb 26, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Ky sio lazima ni ya TIGO tu jamani unaweza tumia hata kwa njia ya kawaida na majumbani ndio kabisa mtu unajua kabisa mumeo anachakachua nje hivyo unajihami asije akakuchubua hivyo akitaka kufanya mapenzi na wewe unaweza kutumia. Pia kuna wanawake wengine inawatokea ghafla wanakuwa wakavu sana kwa hiyo wanatumia.
  Kitu kingine anaweza kuwa aliitumia kwako bila wewe kujua wanawake huwa hawapendi kuonekana hawasikii raha wafanyapo mapenzi na wapenzi wao kwa hiyo anaweza akajiandaa kwao na kujipaka then akija kwako mnaendelea kama kawaida. muuluze atakupa jibu tu, usikimbilie conclusion
   
 20. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #20
  Feb 26, 2011
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,811
  Likes Received: 1,146
  Trophy Points: 280
  loh babu huyo shemeji anawapandisha watu pikipiki aloo mwambie jamaa ashtuke:mullet:
   
Loading...