Hivi akina dada ambao hamjaolewa mna laana ama? Mbona mimi nina wachumba 10?


S

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Messages
4,132
Likes
6,593
Points
280
S

Sexless

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2017
4,132 6,593 280
Ninawashangaa sana akina dada ambao umri unaenda halafu kila siku wanalalamika mtaani eti "wanaume waoaji hakuna". Mpaka wengine wanafikia hatua ya kuzalishwa watoto pasipo ndoa.

Mbona mimi nina wachumba serious zaidi ya 10? Wangekuwa wanagawanywa ningewagawia. Bila shaka kuna laana inawatafuna akina dada hawa. Wenzenu wanagombaniwa kuolewa halafu ninyi mnakosa wa kutoa posa?

Ama kama siyo laana mmelelewa vibaya, hivyo hamna maadili. Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Sasa ndiyo mnasomeshwa namba na ulimwengu kwa kukosa wanaume wa kuwaoa.

Mimi nikiwa njiani, kwenye msiba, kwenye harusi, kwenye daladala, kwenye mkutano, kwenye lecture, kote huko ni full shida yaani natafutwa na kuwindwa na wanaume. Ninyi wenzetu inakuwaje mnakosa wanaume wa kuwaoa?
 
Toughlendon

Toughlendon

Member
Joined
Dec 17, 2016
Messages
91
Likes
99
Points
25
Toughlendon

Toughlendon

Member
Joined Dec 17, 2016
91 99 25
Ninawashangaa sana akina dada ambao umri unaenda halafu kila siku wanalalamika mtaani eti "wanaume waoaji hakuna". Mpk wengine wanafikia hatua ya kuzalishwa watoto pasipo ndoa.

Mbona mm nina wachumba serious zaidi ya 10? Wangekuwa wanagawanywa ningewagawia.

Bila shaka kuna laana inawatafuna akina dada hawa. Wenzenu wanagombaniwa kuolewa halafu ninyi mnakosa wa kutoa posa?

Ama kama siyo laana mmelelewa vibaya, hivyo hamna maadili. Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Sasa ndiyo mnasomeshwa namba na ulimwengu kwa kukosa wanaume wa kuwaoa.

Mm nikiwa njiani, kwenye msiba, kwenye harusi, kwenye daladala, kwenye mkutano, kwenye lecture, kote huko ni full shida....yaani natafutwa na kuwindwa na wanaume. Ninyi wenzetu inakuwaje mnakosa wanaume wa kuwaoa?
itafika zamu yako na wewe watakukazaaaa mpaka wachoke alafu wataenda kuoa wanawake wengine ....trust me HAKUNA KIUMBE DUNIANI HATABIRIK KAMA MWANAUME....
 
S

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Messages
4,132
Likes
6,593
Points
280
S

Sexless

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2017
4,132 6,593 280
Waliopo kwenye ndoa wangekua wanaonesha mifano mizuri wadada wangevutika kuolewa.
Mkuu siyo suala la kuvutiwa, ni kwamba kuna wadada hata salaam hawapewi. Umri unafika miaka 30+ wanatongozwa na mateja tuuu
 
Mfukua Makaburi

Mfukua Makaburi

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Messages
2,678
Likes
5,157
Points
280
Age
28
Mfukua Makaburi

Mfukua Makaburi

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2014
2,678 5,157 280
Wandugu, mtawauwa hawa mabinti wa humu kwa msongo wa mawazo.

Waacheni waishi maisha yao.

Ndoa hua ni matokeo ya maisha, kama haikutokea maisha lazima yaendelee.

Wapeni nafasi.
 
Thad

Thad

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2017
Messages
11,113
Likes
24,682
Points
280
Thad

Thad

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2017
11,113 24,682 280
Mkuu naomba mawazo yako tujadili mada hii kiundani. Inakuwaje baadhi ya wadada wanagombewa kuolewa huku wengine wakizeeka bila kuolewa?
Kuolewa ni bahati,kuzaa ni majaaliwa
 
S

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Messages
4,132
Likes
6,593
Points
280
S

Sexless

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2017
4,132 6,593 280
Basi sawa mkuu ila kuna wale wakina shake well before use ni watata sana
Mtata mkuu namwaga mapema, halafu anatafutwa mbadala mwenye subira. Atakayeyavumilia masharti mpk mwisho ndiyo atapewa nafasi ya kunywa maji matamu
 
Hussein Melkiory

Hussein Melkiory

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2016
Messages
7,064
Likes
8,680
Points
280
Hussein Melkiory

Hussein Melkiory

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2016
7,064 8,680 280
Mtata mkuu namwaga mapema, halafu anatafutwa mwenye subira. Atakayeyavumilia masharti mpk mwisho ndiyo atapewa nafasi ya kunywa maji matamu
Pima kwa mizani ya moyo wako ubaki na umpendae umshape vile utakavyo hiyo idadi mkuu ipunguze ni nyingi sana
 

Forum statistics

Threads 1,236,622
Members 475,218
Posts 29,264,575