Msichana wangu anashindwa kunitaja jina kwenye simu

Msichana wangu anashindwa kunitaja jina kwenye simu

Mtoto mkubwa

Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
68
Reaction score
23
Nina mpenzi wangu anajifanya ananipenda sana na anawivu sana. Pia ana jifanya kuwa anampenzi mmoja tu ambaye ni mimi, cha ajabu juzijuzi nime badilisha namba nimemtext amejibu ananiuliza nani.

Nimemjibu mimi boyfriend wako ananambia nitaje jina, namuuliza unawapenzi wangapi anasema hana mpenzi nikimuuliza sana ananijibia jeuri.

Hivi hapa kuna nini wakuu?
 
Kwani umemshamtolea mahari kupata hati ya umiliki.... Hata kama anakupenda ila kama anapigiwa simu na mtu ambaye hamjui hana haja ya kukutaja kwa kuwa sio kipimo cha mapenzi ya dhati, acha Ubabaishaji
Una akili sana
 
Nina mpenzi wngu anajifanya ananipenda saaaaana na anawivu sanaaaa.. Pia ana jifanya kuwa anampenzi mmoja t ambaye ni mimi chaajab juzjuz nme badilisha namba nmemtext ameji ananiuliza nan. Nmemjib m boyfriend wako ananambia nitaje jina nq muuliza unawapenzi wangapi anasema hana mpenzi nikimuuliza sana ananijibia jeuri.. Hivi hapa kuna nn wakuu...?
Hayo umejitakia mwenyew, pambana na hali yako
 
Hahahahhahahah...we jamaa utakufa na presha
Kama sio mke wako huyo ni HAWALA yako so kuwa mpole
 
Back
Top Bottom