STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,077
- 17,267
Nimegundua kwamba wanawake wengi kuanzia mitaani hadi mwenye social media huchangia kwa kiasi kikubwa kukatisha mori ya mwanaume pindi wanapoanza kuchat,
Ingawa hawatambuani(ni strangers) lakini wanawake kwakiasi kikubwa wanakosea sana pale wanaposema kwamba hawataki kuulizwa maswali!
Tena huku wakitushinikiza kwamba eti "go straight to the point!"
How come?? Nitakwendaje straight to the point pasipo kufahamiana?
Anyway wanaume tunaweza kwenda straight to the point lakini mtatuelewa kweli?
Au huwa mnataka vitu msivyovijua?
Nitaanzaje kwenda straight to the point ikiwa hata hatujafahamiana majina yetu?
Sijui mmenielewa vizuri?
Yaani mimi kuanza na kuanza nikwambie
"mrembo nimezimika na makalio yako, natamani nikakeshe nayo usiku mzima"
Au nikwambie
"Baby ujue mpaka sasa umenimaliza mwenzio, nahitaji tukutane kesho jioni kwaajili ya kugegedana"
Au pengine mnataka tuanze kuwapigia story za mali tunazomiliki ikiwemo magari tuliyoyaagiza Japan?
It really make sense?
Yani nianze kukupigia story tu mtu ambaye sikufahamu?
Ujue hata machangudoa unapotaka kumnunua lazima umuulize anachaji bei gani kwa round moja,
Kwahiyo maswali kama "jina kamili unaitwa nani?"
"unasoma au unafanya kazi"
"unaishi wapi?"
Ndiyo yanayojenga ukaribu na kunogesha uhusiano!
Kwahiyo nyie Warembo mnaokataa kuulizwa maswali mnatakiwa kutambua kwamba maswali hayahepukiki hasahasa mwanzo wa mazungumzo/chattings.....
-Alamsiki-