Nani bingwa wa kukaa Ukweni?

lelulelu

JF-Expert Member
Dec 8, 2017
313
250
Wakuu habari za muda,..naomba tuchangie hapa kuhusu suala la sisi wanaume kukaa ukweni ...

Mie binafsi naona hata ile kukaa siku nzima na kulala siwezi kabisa kwanza naanzaje ?

mana raha unapotea ukweni mpaka wanakumisi yani,..

sio unakaa mpaka stori zinaisha bhana mnabaki kuangaliana tu mwisho unashinda chumbani na mkeo ..

unaenda then mda mfupi unawaaga mpaka wanashangaa ..

labda kwa baadhi yatamaduni kama zetu sie mke anaenda kujifungulia kwao sasa hapo unaweza kujikaza kuenda kulala siku moja moja tu ..

vipi wadau kwa upande wenu suala lla kukaa ukweni mnalichukuliaje??
 
Norshad

JF-Expert Member
Jun 3, 2013
4,524
2,000
kuna watu wanaishi kwa mama mkwe, bila wasi na asubuhi linatoka na taulo lake na mswaki linaswaki uwanjani, sasa siku ma mkwe amevurugwa ndipo panakuwaga pa moto, tunafuga mwanaume hawezi hata kujinunulia boxa, hawezi kulipa umeme, hawezi hata kumtunza mkewe..hapo ...unaweza kutom....mkeo na binamu yake na ukakaa kimya kuogopa kutupiwa virago nje..
 
mangatara

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
14,547
2,000
Kama yupo mwanamume wa kuthubutu kulala ukweni siku 2 kama sio kilioni, huyo ni kidume kweeli kweli. Binafsi siwezi kulala siku 1 tu. Siwezi nasema siwezi.
Asubuhi, utaingiaje bafuni?? Wapo wamama wakwe wengine viherehere kweli. Mara wasikia, We flan, mwambie mwenzio maji tiyari bafuni. Dah! Nitaingia iyo bafu kweli??
Jamani, kuweni na roho ya kiutu. Siingii humo bafuni, labda niende guest kuoga. Si hishima hata kidogo.
 
rr3

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
2,785
2,000
Sasa kuna huyu wakwetu amemuoa sisteri........................ yaani kuna house empty pale home ilikuwa ya babu na bibi wanaishi kabla hawajafa...... jamaa amemchukua tu wamepanga mara dogo analalamika kodi jamaa hawezi mara sijui nini......... ikabidi waambiwe warudi home kuna nyumba empty.

likarudi bila woga aisee, wamekaa pale huu mwaka wa tano na kiwanja sisteri ikabidi apewe na kujenga wameanza. Likishindaga nyumbani nasikia maza analituma hadi chumvi dukani kama hakuna watoto wadogo.... duh

yaani jamaa hana mshipa wa aibu, huwa nikimwangaliaga nawaza kichwani kwake ubongo utakuwa umesukwaje aise.... maana itakuwa huyo fundi wiring kuna jinsi alipishanisha waya zake.

mimi mwenyewe ukweni labda msiba na nikienda nakaa nyuma kabisa. yaani sipo huru hata kukohoa nikiwa ukweni.
 
Prince toyboy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
377
500
nyie jamaa mna mambo ya ajabu sana
usilale ukweni hata siku moja una matatizo gani yanakusumbua mpaka usilale kwa wakwe zako

eti mwingine anasema mnapiga story hadi mnakosa cha kuongea,, kwani hapo umefata story?

kuna muda mwingine ni lazima muende kusalimia ukweni mnaweza panga kukaa hata siku tatu,,
mfano unaishi mkoa wa mbali unavyoenda kwa wakwe huwezi ondoka siku hiyo hiyo ni lazima ulale angalau siku moja au hata mbili hata na zaidi inategemea na umuhimu wa safari yako

umeoa mtoto wao unalala nae kila siku afu wazazi wake hutaki kua nao hata siku moja, una matatizo sio bure
labda tu huyo mkeo awe hawapi wazazi kipaumbele
 
Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
12,581
2,000
SASA KUNA HUYU WAKWETU AMEMUOA SISTERI........................ YAANI KUNA HOUSE EMPTY PALE HOME ILIKUWA YA BABU NA BIBI WANAISHI KABLA HAJAFA...... JAMAA AMEMCHUKUA TU WAMEPANGA MARA DOGO ANALALAMIKA KODI JAMAA HAWEZI MARA SIJUI NINI......... IKABIDI WAAMBIWE WARUDI HOME KUNA NYUMBA EMPTY.

LIKARUDI BILA WOGA AISEE, WAMEKAA PALE HUU MWAKA WA TANO NA KIWANJA SISTERI IKABIDI APEWE NA KUJENGA WAMEANZA.

YAANI JAMAA HANA MSHIPA WA AIBU, HUWA NIKIMWANGALIAGA NAWAZA KICHWANI KWAKWE UBONGO UTAKUWA UMESUKWAJE AISE.... MAANA ITAKUWA HUYO FUNDI WIRING KUNA JINSI ALIPISHANISHA WAYA ZAKE.

MIMI MWENYEWE UKWENI LABDA MSIBA NA NIKIENDA NAKAA NYUMA KABISA. YAANI SIPO HURU HATA KUKOHOA NIKIWA UKWENI.
Mkuu muonee huruma Shemeji yako Mungu anakuona eti wirering wamekosea kusuka kichwani

rr3

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
2,785
2,000
Mkuu muonee huruma Shemeji yako Mungu anakuona eti wirering wamekosea kusuka kichwani

Mtu anamkula dadaako nje kwenu bwana.

Vijana wa leo sijui vipi kabisa........ na wazee wa kileo ndio wapolee wanaruhusu tu
 
lelulelu

JF-Expert Member
Dec 8, 2017
313
250
SASA KUNA HUYU WAKWETU AMEMUOA SISTERI........................ YAANI KUNA HOUSE EMPTY PALE HOME ILIKUWA YA BABU NA BIBI WANAISHI KABLA HAJAFA...... JAMAA AMEMCHUKUA TU WAMEPANGA MARA DOGO ANALALAMIKA KODI JAMAA HAWEZI MARA SIJUI NINI......... IKABIDI WAAMBIWE WARUDI HOME KUNA NYUMBA EMPTY.

LIKARUDI BILA WOGA AISEE, WAMEKAA PALE HUU MWAKA WA TANO NA KIWANJA SISTERI IKABIDI APEWE NA KUJENGA WAMEANZA.

YAANI JAMAA HANA MSHIPA WA AIBU, HUWA NIKIMWANGALIAGA NAWAZA KICHWANI KWAKWE UBONGO UTAKUWA UMESUKWAJE AISE.... MAANA ITAKUWA HUYO FUNDI WIRING KUNA JINSI ALIPISHANISHA WAYA ZAKE.

MIMI MWENYEWE UKWENI LABDA MSIBA NA NIKIENDA NAKAA NYUMA KABISA. YAANI SIPO HURU HATA KUKOHOA NIKIWA UKWENI.
mkuu shemeji yako yupo humu humu jf alitoaga uzi wa kulalamika kuhusu kukaa ukweni na shemeji zake kumbe mmoja wao wewe?

dah basi na shemej yako analalama kishenzi ila tatizo ni mdogo wenu
 
lelulelu

JF-Expert Member
Dec 8, 2017
313
250
nyie jamaa mna mambo ya ajabu sana
usilale ukweni hata siku moja una matatizo gani yanakusumbua mpaka usilale kwa wakwe zako

eti mwingine anasema mnapiga story hadi mnakosa cha kuongea,, kwani hapo umefata story?

kuna muda mwingine ni lazima muende kusalimia ukweni mnaweza panga kukaa hata siku tatu,,
mfano unaishi mkoa wa mbali unavyoenda kwa wakwe huwezi ondoka siku hiyo hiyo ni lazima ulale angalau siku moja au hata mbili hata na zaidi inategemea na umuhimu wa safari yako

umeoa mtoto wao unalala nae kila siku afu wazazi wake hutaki kua nao hata siku moja, una matatizo sio bure
labda tu huyo mkeo awe hawapi wazazi kipaumbele
sasa kama binti yao nalala nao kila siku kwa hvyo na hao wazee nilale nao??

we huoni kinyume nyume?

We huna mshipa wa aibu tu mkuu kuna mambo kimaumbile hauwi relax labda uwe na mapungufu iwe ya kimsili au kimazingira..
 
lelulelu

JF-Expert Member
Dec 8, 2017
313
250
Mtu anamkula dadaako nje kwenu bwana.

Vijana wa leo sijui vipi kabisa........ na wazee wa kileo ndio wapolee wanaruhusu tu
hivi ukifika uweni hata hamu ya kuinjoy na wife inakuja kweliiii??

mana unaweza anzisha vita usiku wa manane mabomu yakalia mpaka nje ikawa asubuhi kutoka unachungulia kwa aibu
 
rr3

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
2,785
2,000
mkuu shemeji yako yupo humu humu jf alitoaga uzi wa kulalamika kuhusu kukaa ukweni na shemeji zake kumbe mmoja wao wewe?

dah basi na shemej yako analalama kishenzi ila tatizo ni mdogo wenu

Hawezi kuwa sehemu serious kama hizi. Angekuwa huku ungekuta amepata akili na amepotelea kusikojulikana.
 
feitty

JF-Expert Member
Jul 10, 2015
2,045
2,000
Maisha sometimes yanasababisha haya.
Usiombe maisha yakakuendea mrama unaweza ukafanya vitu mpaka unajiuliza huo ujasiri umeutoa wapi.
Kuna mmoja namjua kahamia ukweni mana maisha yamekuwa magumu na mkewe kaongea na wazazi wakamwambia kwanini ateseke aje tu nyumbani akae.
Kapatiwa sehemu ya kukaa mwenyew anaona afadhali kuna unafuu wa maisha.
 
aaah mie Mungu asijaalie na atuepushe sote jmani ila dah ndo dharula hyo mkuu bila dharula inakuwa ngumu sanaa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom