Uliwezaje kuwa na mke kama vitu vidogo kama kuandika vizuri vinakushinda ?Ni mwaka sasa tola tuungane na kupata mtoto..mke wang amebadilika..sana..amekua mjeuli,,mkali wa mtumishi wa ndani,..naoma hadi mapenzi yangu kwake yanzidi kuporomoka...napenda kuomba ushaul nitawezaje mlekebis
Muhusika umemueleza juu ya mabadiliko ya tabia yakeNi mwaka sasa tola tuungane na kupata mtoto..mke wang amebadilika..sana..amekua mjeuli,,mkali wa mtumishi wa ndani,..naoma hadi mapenzi yangu kwake yanzidi kuporomoka...napenda kuomba ushaul nitawezaje mlekebis
Umemaliza mkuuuna pesa?
Ni rahisi kweli mtu kuona mabadiliko kwa mwaka mzima bila kuongea juu ya tatizo husika na mwenza wake?Umeongea nae au umekuja kuongea na wanajf kwanza?
Yeah inawezekana, hujawahi ona mtu ambae ukimsemesha ananuna??Ni rahisi kweli mtu kuona mabadiliko kwa mwaka mzima bila kuongea juu ya tatizo husika na mwenza wake?